Habari, wanabodi. Nimepanda vitunguu muda si mrefu (kama two weeks hivi) tatizo Ninakabiliwa na uvamizi wa panzi shambani. Wanakula sana majani ya vitunguu. Nifanyeje au Nitumie dawa gani? Msaada...
Who wouldnt agree with me that the era we at right now there is no such thing as Job security?
Have you ever thought of
What if the company you work for goes bankrupt?
What if a new management...
Habari zenu. Kutokana na umuhimu wa topic yenyewe inavyowasumbua wajasiriamali wengi wadogo nchini, nimeona umuhimu wa kutoa nafasi hii kuwafahamisha siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo...
HI.Wana JF nadhani kila mtu anajua kuwa ukitaka ufanikiwa lazima uwe mbunifu na utumie taaluma yako kupata pesa. Kwa bahati mbaya wengi mafunzo tuliyopewa huko tulikosoma yalikosa kipengele cha...
Jipatie incubator ya mayai 5000 ni automatic na ni mpya kabsaa. Usage reptile,chicken,piegon,turkey,ostrich,duck,emu. Bei ni 6mil. Mawasiliano zaidi ushokola2002@gmail.com au ni pm. Nipo Dar.
To all women in business, it is time for the next move. The Dar Business Women's Club brings you the "WOMEN ON THE MOVE" event to be held in August 23rd, 2014 at Malkia's Mikocheni. The aim of...
Due to so many enquiries about our services which range from greenhouse farming,poultry and quails, rabbits and dairy goats,drip irrigation installation to value addition on farm products,making...
Imekuwa ni kawaida kwa watu wengi kutambua pesa kama mtaji wa kila kitu katika biashara , lakini katika ulimwengu wa biashara iko tofauti pesa sio mtaji bali pesa ni kiasidizi cha mtaji . Leo...
habarini wana ndugu... naomba msaada wenu..kwa pale nyegezi SAUT university ni biashara gani iko poa kuanzisha kwa eneo kama ile. japo kuna competitors wengi hasa kwa upande wa vyakula ntajikita...
Nataka kujiingiza rasmi kwenye kilimo cha miparachichi,nanuia kufanya research yake lkn nimeleta wazo hl kwenu kwani mnaweza kunipa elimu yake na kwa manufaa ya wengine.Shortly nipo Kilolo-Iringa...
Wana j ninaproduct zangu ambazo ni man made na zimesambaa sana maeneo mengi tanzania
Descriptions:
1:pochi za kiume
>za kushona na kufuma(ukiziona zilizotobolewa na kupitishwa uzi ni part of the...
Wadau vipi kwema wote kwa walio arusha kama unahitaji kiwanja au shamba nicheki ila kuna kuwanja pia maeneo ya boma saira karibu na masai camp mita 27 kwa 21 pia natafuta kiwanja ambacho kipo...
Heshima kwenu wadau.
Naandika kama mwakilishi wa vijana graduates tuloamua kuwa na firm ya kuzalisha maji ya kopo nje ya dar.
naomba kuuliza kwenu mahali panapotengenezwa chupa za maji mbali na...
wana ndugu kwa wale entrepreneur kuna youtube nimeona itakuwa helpful...kuna episode ya kwanza mpaka ya sita,niliona katika pita pita yangu youtube kuhusiana na business plans..its very good ep...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.