Wapendwa nijulisheni wapi naweza kupata mayai kwa ajili ya kutotolesha.
●Aina ya mayai- yawe ya kuku aina ya hampshire.
●Au chotara yoyote- iwe dual-purpose.
●Au aina nyingine...
Habari wajameni.
Nasikia wakulima wa miti ya mitiki(Teak) huko moro wanaongelea CRDB bank wanatoa mikopo kwa dhamana ya hiyo miti, wanasema miti yenye umri wa kuanzia miaka 3 na kuanzia hekari 1...
Mpaka muda huu sijapata majibu ya hizi hoja zangu muhimu.
1.Incubator ya mayai 3,000 inatumia watt ngapi za umeme,nauliza hivyo ili nijue kama solar za watt ngapi zinaweza kufit.
2.Ikiwa solar...
Hello wana JF,
nina jamaa yangu anataka kuingia katika biashara(dhahabu ya gold) hii ikoa ya Shinyanga/Tabora. Yeye amekulia na Uncle yake enzi hizo miaka ya 80s/90s. wakati anakua na mzee wake...
Wakuu, Mafanikio ya Biashara si kitu Cha kitoto hata kidogo na some time huchukua hata miaka 20 ila kikubwa ni kutokata tamaa kamwe.
Vile vile Mafanikio yanahitaji Vitu Vingi sana, Kama Vile:
1...
Wana JF nina nia ya kuanzisha hiyo biashara. Je kuna mtu mwenye uzoefu nayo tu share information kuhusu urahisi na changamoto za hii biashara? Natanguliza shukrani zangu.
Msaada jamani. Ninataka kuweka mbolea shambani. Sijui niwekeje. Maana washauri wejgi mmno. Nashindwa nifanye ipi iliyo bora. Kati ya
1.kumwaga kama kwenye mchicha
2.kuchimba kati ya mstari na...
#Ulishaji :
Kuku wa kienyeji wanaweza kulishwa kwa kumia mahindi, mchele, na mabaki ya ugali. Vyakula hivi ni lazima vikaushwe vizuri na kusagwa vizuri. Ulishaji ni lazima ufanyike katika sehemu...
Nahitaji sehemu ya kufungua restaulant ya kwaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15 vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biliani supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani mazuri kwa hapa dar...
Wakuu salaam?
Nianze tu kwa kukiri kwamba nimetumia muda mwingi kujielimisha kitaaluma na baadaye kupata profession ambayo nadhani bado haijawa msaada kwangu. Dhahiri nakiri hapa huo muda...
Kwa yeyote ambae ndo kapata mafao yake na umri ndo uko finaly basi namshauri aanzishe biashara itakayo endana na maswala ya chakula. Maana mwisho wa siku huwezi kukosa mboga wala unga.
Ukiweka...
Habari zenu wapendwa,
Nataka kuanza biashara ya asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo toka tabora naomba kujuzwa nitapata wapi vifungashio kwa ajili ya kuweka hiyo asali nahitaji vya robo lt...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kuweka na kukuelekeza kutumia tally erp software kuanzia biashara binafsi, miradi, maduka na kampuni ndogo mpaka kubwa kwa bei ndogo kabisa...
Toleo lililopita nilitoa maelezo kuhusu vitu ambavyo vinarudisha nyuma wajasiriamali wengi na wafanyabiashara ambavyo ni vitu vya kawaida na vinafanyika na vingine hufanyika kimakosa bila hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.