Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Katika biashara lazima kuwe na mipango ambayo itaisaidia biashara yako kusonga mbele, kila biashara imara lazima iwe na mipango ili kuifanya na kuisaidia kusonga mbele kwa wakati husika na baadae...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida. Hongereni kwa hilo ! Mimi ni mjasiria mali nahitaji kupanda miti lakini kuna mambo yafuatayo yananitatiza; 1. Ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
hawa wachina wamekua wakiwanyonga sana wa Bongo Nasisi tutanyonga wachina wote wauza Mauwa huku kwetu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, naomba utaalam na uzoefu. Kuna bwana mmoja anataka kuniuzia New Holland Tactor lenye 75hp na ni 4wheel. Alipewa zawadi na shirika alikokuwa anafanya kazi June 2012 na hajawahi kulitumia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mungu awabariki, Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar5i za asubuhi wanajf,Nimekuwa na plansza mda mrefu za kutaka kuingia kwenye ujasiliamali katika kilimo , baada ya maandalizi yangu kwa mda sasa nimefikia wakati nataka kutimiza ndoto zangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimeshawishika kuanzisha ufugaji wa kuku. Naomba mawazo yenu juu ya gharama za kuwahudumia kuku wa kienyeji na wale wa kisasa ipoje? Pia hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Mungu awabariki, Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta mtu tutakaeweza ku merge nae business tufungue k a bar maeneo ya tegeta
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Projector used kidogo naiuza bei rahis kabisa nna shida sana.ACER aina yake na ina muda mwingi tu wamatumizi.0718247575 kwa contacts
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza vipodozi kwa anayetaka kufanya biashara kila kipodozi atakacho uza faida asilimia 40% na vipodozi vimeanzia bei sh: 10,000/= mpaka 50,000/=
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta soko la mafuta ya alizeti
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni bidhaa itumikayo kwenye gari,pikipiki, generator,meli,treni,mitambo ya migodini na vifaa vingine vyote vitumiavyo petrol au diesel kwa ajili ya kusafisha mafuta hayo utumiayo FAIDA BAADA...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kanda ya ziwa, napendeleo mikoa ya mwanza au bukoba , shamba liwe la hekari moja ( 1) hadi tano ( 5 ) Na vile vile nitafurahi kwa ushauri wowote nitakao pata
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natumai wote wazima wa afya' naombeni mnisadie kijua: 1. Aina za sabuni zilizopo sokoni (Miche, Maji, Dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE 4. Aina...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
NATAFTA mtu anayeuza kuku aina ya kuchi
0 Reactions
0 Replies
776 Views
alie kwish akufanya ujasiriamali wa kutengeneza sabuni naomba anijulishe bei ya kujifunza
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wana jf, salaam mimi ni mjasiriamali mkazi wa Urambo mkoani Tabora. natafuta soko la asali ya nyuki wa kawaida. kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba kuna tajiri mmoja ananunua jijini dar kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za humu ndani jamani,mi cku zote nilikua mtu wa kuchungulia sana jf bila ya kujiunga napita majukwaa yote nasoma,nafurahi nacheka pakujifunza najifunza kisha naondoka,lakini ckuwahi kuingia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
nahitaji chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya ujasiriamali Wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…