Habari za jioni wana jm,naomba msaada kwa mtu aliye morogoro mjini, biashara gani au mradi gani unafaa kwa mtaji wa sh milion 1 na nusu,tafadhali saidia mawazo.
kwa wanauza au wanataka kununua
>mashamba
>nyumba
>kupangisha
>cm
>nakitu chochote
wasiliana nasi kwa 0786584800 au donardgeorge@gmail.com
kwa walio mbeya tu
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa...
wakuu,nimekuwa nikipitia tovuti mbali mbali zinazohusu biashara tofauti za mtandaoni,kama vile magari,bidhaa za kielektroniki,kwa kweli kuna vitu vina ubora na bei nafuu,hata usafirishaji wake...
Heshima natanguliza.
Baada ya kuzunguka katika maduka na supamaket kadhaa, nimepata oda ya kusambaza unga wa lishe.
Tatizo hata sijui vifungashio nitavipata wapi. Tafadhali naombeni msaada...
ndugu zangu nipo morogoro naitaji kufungua biashara ya kuuza kitimoto ningeomba wenye uzefu mnisaidie nijue mambo ya msingi yakuzingatia na kama kuna mtu wa morogoro mjin anisaidie jinsi ya kupata...
Wanajamii wenzangu ni maeneo gani (Trading centre) yaliyokaa vizuri kwa Biashara kama kuchaji simu, secretarial services, kuonyesha TV kwa ku tumia solar ambayo yapo nje kidogo ya jiji la Dar na...
Nigependa kujua ni mtanda upi I.e tigo-pesa, airtel-pesa, vodacom-mpesa etc unatao huduma bora kama vile kuunganisha bank account and account yako ya simu kama nilivyoeleza hapo juu
Nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu, nikitumaini mu_wazima wenye siha njema. Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kufahamu wapi wanapo 'publish' vitabu popote kwa mikoa ya Mwanza, Dar, Arusha na...
Ndugu wanajf mwaka unatamatika.Natamani mwaka ujao niwe mjasria mali.wazo langu nikumiliki kampuni yangu ya uchapishaji wa vitabu.(publishing co.)NAOMBA USHAURI WA HATUA ZA KUFUATA ILI LENGO LANGU...
Habari! Mimi nina ng'ombe wawili wa maziwa( freshian) niliwanunua pale ubungo dar , chakushangaza hawa ng'ombe wanatoa maziwa kidogo kiasi 3 litres per day each lakini wanapata malisho bora...
jamani kwa mwenye uzoefu na biashara ya tax,tafadhari anisaidie kujua je inalipa?yaaani hesabu ni shangapi,total kwa mwezi na running cost zikoje on average?inaweza kuyafanya maisha yaendee...
Jameni naombeni msaada nina kuku wana miezi 5 na karibu wataanza kutaga, je nawezaje kuwapunguza midomo yao? Kingine jkuhusu viota nimewawekea nimechelewa ama huu ndo muda muafaka wa kuweka viota
Ndugu wadau wa JF naomba mtu yeyote anayejua au mwenye connection na wadau wa biashara ya Vinyago(tofauti tofaut) hasa maeneo ya utalii anisaidie nimeianza hyo biashara ila sijapata soko la kutosha.
Habari!
Nategemea kuanza ufugaji wa ngombe wa maziwa na Kwa kuanzia naanza na mmoja.naomba wale wenye uzoefu wanisaidie. Nahitaji mwenye mimba ya at least miezi mi4.nategemea kufugia dar