Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) ni kampuni ya muungano wa vijana wa kitanzania na kichina waishio jijini Shanghai-China.Kampuni hii iliyoanzishwa february mwaka 2012 jijini Shanghai...
Nina biashara yangu ya duka la nafaka,unga na mafuta ya alizeti.(food stuff) hapa moro mjini.
Nauza mahindi,unga wa mahindi,(sembe & dona),mchele,maharage, korosho,karanga,ufuta, mafuta ya...
ndugu wanaJF na hasa wenye ufahamu wa masuala ya photography. kuna business idea inanijia kichwani kuhusu photography studio kama unavyoona PhotoPoint, Creative Image. nimejaribu kufuatilia kwa...
Wana jf ninaomba wenye uzoefu waniambie faida inapatikanaje kwa kila transaction na inachukua muda gani kuomba mpaka kupewa code au line ya uwakala na gharama zozote unazoingia ili kupata hiyo...
lets say i have a business idea that
1. have a maximum of 4 month payback period -you get all your investment back in 4 month.
2. more than 250% annual returns on average
3. can be done on part...
Watu tumezoea kudanganyana na kutokuelezana ukweli kuhusiana na biashara,
tumekuwa watu wa kupeana moyo na kushauriana kila mtu afanye iashara lakini
biashara au ujasiriamali sio kitu rahisi...
Kwa nini kumekuwa na hii tabia ya kila mfanyabiashara anajiita mjasiliamali? Labda tunashindwa kutofautisha haya maneno mawili ndiyo maana yamekuwa yakituchanganya na hasa walio wengi. Huwa...
Habarini,
jamani najua kwenye jukwaa kuna
watu wenye fani mbali mbali humu
ndani. Mimi nina wazo la kufungua
Duka la Dawa mkoani Singida.
Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA
kufungua duka...
Habari zenu. Mnamo mwezi wa nne mwaka huu nilinunua mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa kwa kutumia matakataka makavu kwa sh. 850,000 kutoka katika shirika la wafaransa liitwalo ARTI Energy...
Habari za masiku wana jf wapendwa wangu.Baada ya miangaiko mingi na majaribio ya miradi mbalimbali hatimaye nimebahatisha kamradi, kiasi fulani kana faida kamradi kenyewe ni cha kutoa huduma ya...
Ebwana habarini wakuu, kutokana na ugumu wa ajira nimeamua nijaribu kufungua internet cafe hapa singida mjini, vp inaweza kunilipa hii biashara kwa nyie wazoefu.
Jukwaa hili ndilo lilinifanya mimi niifahamu JF.
wadau wamekuwa wanaleta hoja/mawazo yanayoleta msukumo chanya wa maendeleo ya mtu binafsi kwa kutoa mawazo mbalimbali ya kumwezesha mtu kupiga...
Habarini za shughuli,
Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali.
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu
Nategemea...
Habarini za shughuli,
Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali.
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu
Nategemea...
Heshima kwenu wakuu,
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha Biashara ya kukopesha PESA kwa Riba anataka iwe OFFICIAL so anataka kujua namna yakuisajili kampuni yake. Pia kupata LESENI utaratibu...