Habari zenu wana jamvi....
Ama baada ya salamu, leo nina jambo langu nataka niwahusishe ndugu zangu. Ni hili suala la duka la reja reja ( la mahitaji ya kila siku ya nyumbani ), baada ya...
Heshima mbele Wanajamvi!
Sisi ni vijana watatu tumeungana tukafungua na kusajiri kampuni ya Mawasiliano. 2 kati yetu ni wazoefu kabisa kwenye fani hii na wameshafanya kazi na makampuni ya...
Samahani wanajamvi ninaulizia kuhusu utaratibu wa kusajili jina la biashara na gharama zake na je katika Kusajili kwa sisi watu wa mikoani utaratibu ukoje au inatulazimu mpaka tufike Dar es...
habari wana jf.
naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa kuhusu biashara ya mayai ya kuku kwa bei ya jumla.
naomba kujuwa bei za kununua kwa jumla na bei za kuuza kwa jumla.
asanteni
-tunachimba visima virefu kwa kutumia machine maalum ya kisasa kwa uhakika na kwa bei nafuu.
-tunachimba na kukabidhi kisima ndani ya siku moja. tutakufuata popote ulipo [dar].
mobile no: 0712...
Taa ya hatari imeanza kuwaka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wa Tanzania
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara, ( wakubwa na wadogo) wanafanya biashara
Kienyeji na kikubahatisha wanafanya...
Habari wadau,nina shamba maeneo ya Mapinga karibu na Bagamoyo lenye ukubwa wa ekari mbili,natarajia msimu huu wa kilimo kupanda mihogo,hivyo basi ninaomba mnisaidie ni mahali gani ninaweza kupata...
Ndugu wajasiria mali, nimebahatika kupata ekari 30 kwa ajili ya kilimo. Na eka tano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba huko mashambani. Nategmea mwakani niachane na ajira nikafanye shughuli za ukulima...
Biashara pia inavitu ambavyo kila mtu anatakiwa avifuatilie ili uweze kuimanage, biashara nyingi zinafeli iwapo moja kati ya vitu hivyo vinapopungua au kukosekana hivyo basi kabla ya kuanzisha au...
Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya...
Habarini
nauza kuku wa kisasa Broiler
kwa jumla ni tshs 5000/- mpaka 4800/= kwa kuku 100
na ni kwa rejareja ni 7500/= kwa kuku umtakaye
kwa anayehitaji aniPM nami nitawasiliana naye niko dar
Jamani watanzania wenzangu,huu ni wakati wa kufanya kazi kwa akili zetu na nguvu zetu! Mimi leo nakuarika wewe ambaye unahitaji kundikiwa mradi na mchanganuo wake wote,ushauri jinsi ya kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.