Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

dear members of jf bee keeping in tanzania has been highly practised for many years, however since prime minister Mizengo Pinda came into power, hapiculture is now more emphasized,please i want to...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo viipi Je, Naweza pataje pesa na gari kama hii? Used MITSUBISHI MINICAB 1997 S/N 144162 | JapaneseVehicles.com
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wajf nahitaji kutoka kimaisha je ni biashara gan ndogo ndogo naweza kufanya yenye mtaji chini ya laki 5 nilifikiria ufugaji sema kwa ninapo ishi sina sehemu mana mjini hapa na mifugo amna space...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama jibu ni ndio ni PM number yako nitakupgia nitakushauri utanilipa elf 5 tu baada ya kufanikiwa.0658825141
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natanguliza shukran za dhati kwa wanajamvi. Ni matumaini yangu wanajamvi wengi wetu mmepitia na kusoma habari za alizeti, kwa yoyote mwenye mchango wa soko la uhakika na bei ya alizeti kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina njozi ya kuanzisha hifadhi ya nafaka kama biashara ndogo hapa Arusha lakini sina ujuzi wa kutosha katika fani hii na sijui kama nitapata faida. Mtaji wangu ni milioni 5 tu! Nifanyaje wapendwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
habari zenu wakuu, natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha mifugo especially kuku, wateja wakubwa ni wale wenye viwanda vya kutengeneza vyakula hivyo, tatizo sijui...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba msaada wa 1.gharama zote 2.process za kufuata ili uwe regstard 3.campany nzur ya kuhost hyo website 4.malipo yake kwa mwez au mwaka
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wandugu nauza maharage ya soya nina gunia 150 kila gunia nauza laki na thelathini tu pia nina magunia kama hamsini ya mbaazi kila moja nauza laki tatu ni gunia la kilo mia moja kwa anaehitaji...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Shkamooni; Jamani Ninauza Bata 30, Wakubwa Kwa Wadogo! Nikwaajili Yako, Kwa Bei Utakayo Imudu. Usipitwe Na Bahati Hii, Nitafute Mtwa Mkulu Kwa 0652967265. Kumbuka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anayejua panapopatikana mashine za magic double slot ziwe za karata au gurudumu aniambie na bei zake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuna chumba nyumbani sinza mori, nianzishe biashara gani? Shud i invest it all on M-pesa na Tigo pesa au?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natatufuta mitetea ya kichotara yenye uwenzo wa kutaga na kutamia
0 Reactions
1 Replies
981 Views
kwa anaefaham duka naloweza kupata sodium benzonate(preservative) anfahamishe
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Mm ni muajiriwa katika shirika moja la umma kilichonifanya mpaka nijongee kwenye jukwaa hili ni mawazo yenu wadau napenda kufanya biashara kwani suala la kuajiriwa limekua gumu kwangu. si mara ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salam wakuu! Nahitaji mbegu ya ALIZET aina ya KENYA FEZA nackia inapatikana ARUSHA kwenye KAMPUNI 1 inaitwa KIBO alienambia hana uhakika na Jina la hiyo KAMPUNI ndo7bu nimekuja hapa kwenu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza bata mzinga wakubwa kwa wadogo kwa bei nafuu sana karibu 0757 662401
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Salaam, nahitaji kufungua moja ya barber shop ya kisasa hapa Mwanza mjini. Ila sina ufahamu wa jinsi ya upatikanaji wa vifaa kwa ufunguzi huo, je naweza kupata msaada kwa yeyote yule ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu; Naomba mnifahamishe ni wapi naweza kupata duka linalouza mahitaji ya upishi wa keki kwa hapa Tanzania...hususani Dar es salaam. Itakuwa vema pia kama tutabadilishana ujuzi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Tunatengeneza incubator za kutotolea mayai ya ndege wa aina zote.ni incubator zenye ubora wa hali ya juu.ni automatic zinageuza mayai zenyewe,zinacontral zenyewe kiwango cha joto na unyevu...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom