Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Pata bata bukini wakubwa kwadogo sasa wanapatikana bata ambao niwasafi nabata mzinga pia wanapatikana karibu 0757662401
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Mi ni mfanyakazi wa serikali na nina miaka miwili sasa na ninapokea net 250000 ninahitaji sana mkopo wa kiasi tajwa hapo ili niweze malizia ujenzi wa nyumba yangu niliouanza miaka mitatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, Natafuta wateja wa chokaa, kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane, ipo nyingi sana ni wewe tu na mahitaji yako.
0 Reactions
1 Replies
777 Views
kwa sasa nipo field mbeya nasoma tanga chuo kkuu cha eckernforde! nina kiprot kama heka 1 je naweza enda bank na kukopa ili nifungue biashara? hati milik nnayo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF nahtaj kufungua biashara ya kuuza viatu(simple), kama converse, snika na vyovyote ambavyo vipo simple zaid na quality(grade 1) vya mtumba. hvyo anaeuza kwa bei ya jumla au anamjua mtu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu sjajua kwa huku kwetu ila Kwa wenzetu eggs shell ni dill sana na huwa hazitupwi kamwe, ni biashara kama ziivyo biashara nyingine. Nimeona kwene nchi kama Kenya wao eggs shell hukusanywa na...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu, kama kuna mtu anaweza kunielekeza mahali nitakakozipata aina hizi za kuku kwenye picha tuwasiliane please. Natamani kuwafuga kuwafuga wakuu kwani wanapendeza sana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
karibuni wadau wote wa mifugo kilimo na biashara. natoa ushauri wa mambo hayo hapo juu naweza pia kutibu magonjwa mbalimbali ya mifugo,kilimo. pia ushauri kuhusu lishe na pia michanganuo ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama Wewe Unauza Vitunguu Rejareja Au Unajumua Mzigo Mkubwa Basi Tuwasiliane Kwa 0684061951
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Nilikuwa na mtaji mdogo nikanunua kiwanja kimoja nikakipiga fance ya wavu baada ya miezi 6 nkakiuza bei mara tatu ya niliyonunulia. Nikanunua viwili nikavipiga fance nishauza kimoja na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naomba msaada tokwa kwa wajasiliamari wote ningependa kujua garama za kufunngua/kusajiri company limited by share(garantee), process yote i will apreciate it very much kwa mchango wowote ntakaopa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, polen kwa majukum sina uhakika sana ila kuna tetesi kuwa serengeti breweries wana program ya kununua mtama kama mal ghafi ya bia na aina ya mtama unaotumika ni pamoja na; 1. PROSO...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau Mnaofahamu Soko La Vitunguu Maji Naomba Mnifahamishe Na Bei Yake Kwa Gunia
0 Reactions
2 Replies
4K Views
ROSE NA ALNASHIR NI WAZALIWA WA NACHINGWEA NA TABORA, TUME FUNGUA HOTEL (BED & BREAKFAST) ,"THE ROSAL STONE TOWN HOTEL" MAENEYO YA KOKONI, HOUSE NA 1226 STONE TOWN ZANZBAR,NI DAKIKA MOJA KUTOKA...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo npo mbeya,nikiwa huku huwa naishi maeneo ya block 't' jiran kabisa na chuo kikuu cha teofilo kisanji(teku).sasa leo kuna semina inaendelea hapa imeandaliwa ma clouds fm na na miongoni mwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimehamia dodoma kimaisha ,nataka kufuga kuku nataka kujua ni kuku gani wenye soko dodoma kati ya mayai na wanyama.natangululiza shukran.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wapendwa, Wajasiliamali wa kahama na maeneo jiran nawajulisha nipo kahama na vikoi vya pekee kabisa kahama nzima wamesaluti hakuna duka vilipo.So kama upo kahama ucpitwe vimebaki vichache...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina sikitika sana kuwa watanzania wengu tumekuwa sio wakweli na tumedeula matapeli tumetapeli wageni mpaka sasa uaminifu haswa kwa sisi vijana tunaoanza biashara umekuwa ni jambo ambalo hatuna na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi polen na majukumu ya ujenzi wa Taifa.Mimi ninaomba wajasiliamali tushirikiane kwa sisi wenyewe kuuziana bidhaa zetu mf:mimi ni mtengenezaji wa batiki nahitaji vitambaa vya pamba,rang za...
4 Reactions
15 Replies
8K Views
Back
Top Bottom