Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Jamani mmeshindaje, Sasa nilikuwa naomba mnielekeze jinsi ya kutengeneza sabuni za mche!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau heshima mbele,nimeanza kufuga kuku wa kisasa wa nyama! Napenda ushauri wenu juu wa masoko ya kuku hao hasa kwa wanunuzi wa jumla!ninaanza kuku 1,000 .Naomba uzoefu!PM kwa uharaka zaidi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari,Wadau mimi ni mwalimu nina bachelor ya education,nimejichanga nimepata vijisenti kama m.5 na ushehe,nikiangalia changamoto za ualimu napata hasira sana natamani niende nikasome shahada ya...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Kuna maeneo ambayo sijafika lakini i have strong feeling kuwa kuna fursa nyingi za kijasiriamali,hivyo basi naomba kujuzwa juu ya fursa zilizopo ktk maeneo yafuatayo 1.Ifakara 2.Lushoto...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Natamanin sana fajya biashara ya alizeti mkoani singida ila sina details za kutosha mwenye data au uelewa wowote juu ya biashara hii tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habarini zenu, Napenda sana biashara ya nguo, ipo tu damuni. Nimejarbu enda kutafuta nguo nchi Uganda mara kama tano hivi ila nimeona yale maduka na mimi sio mzoefu sana. Kampala msaada...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habar za jion wanaJF, Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za jion wanaJF, Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombaa mtu mwenye muongozo.....
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Hello JF members, Kuna issue ya ku-export bidhaa fulani kwenda EU (kwa kutumia ndege). Sasa naomba mtu mwenye uzoefu na shughuli kama hii anipe insight information kidogo. Ningependa kujua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu amenunua truck na trailers kutoka Netherlands kwenye kampuni flan hivi. Aliwasiliana nao na kutuma pesa toka mwezi juni mwanzoni, tatizo limekuja kwenye shipment ya hizo trucks...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Hi guyz, me ni mwanamke mjasiriamali. Nilipatwa na mitihan fulan ya kimaisha lakn namshukuru mwenyez mungu nimesimama tena kwa miguu yangu. Lengo la kuja kwenu ni kuomba msaada wa kukopeshwa elf50...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jipatie kuku wa kienyeji wakubwa kwa bei nafuu ya elfu kumi(10,000) Kwa mawasiliano piga 0713351007 0762656348
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Natafuta mkopo wa mil 30. dhamana shamba 50 acres na miti 1000 ya kupanda kwa ajili ya mbao.my email temaungi@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najarib kutathmin kwa jinsi gan naweza kuanzisha shule yangu ila mwanga sina wana JF,help please cha kufanya
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jameni wanajasilimari , naomba msaada kama kuna mtu anajua garama za kutengeneza kipindi cha tv cha dakika 60 garama cha kurusha kipindi cha tv cha dakika 60, na maaanisha airtime charges...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wadau naomba ushaur wenu,nna mtaj wa sh 1ml nataka kuanzisha biashara ,je n biashara gan inanfaa?nakwamba itawah kunpatia faida kubwa kwa wakat mfupi?ASANTEN
1 Reactions
6 Replies
2K Views
hi we are please to announce new audio books available: 1. 7 Habits Of Highly Effective People By: Stephen R. C. 2. Inferno by Dan Brown 3. Zealot: The Life and Times of Jesus of Nazareth. 4...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naulizia office zinazotoa machine za selcom kwa ajili ya kulipia vitu kama luku Dstv n.k
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom