Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nimekuja kwenu members mnisaidie, nna idea yangu ya kuja kuwa na duka kubwa la vitu vya mapambo ya nyumba, yani mapazia, mashuka, maua, stand za maua, makapet, doormats, nk. Kusema hii biashara...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau naomba elimu kuhusu hili. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa Kuku wa kisasa (broilers na mayai ya Kuku hawa wa kisasa) si wazuri kwa afya. Ila Kiukweli mi bonge la mpenzi wa vyuku yaani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jamvi,kutokana na ajira kuwa ngumu familia imeamua kunipa mtaji wa milioni kumi ili niweze kujikwamua kiuchumi,naombeni msaada wa mawazo ni aina gani ya biashara na mchanganuo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Most people know Sean Hyman from his regular appearances on Fox Business, CNBC, and Bloomberg Television, but what they don’t know is that Sean is a former pastor, and that his secret to...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya changamoto ya biashara ni uwezo wa kutunza kumbu kumbu sahihi za mauzo na manunuzi ya bidhaa pamoja na uwezo wa kujua mauzo ya siku,mwezi na historia nzima ya tangu uanzishe biashara yako...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu, muhali gani? Muwazima? Ama baada ya salamu ningependa kuwasilisha jambo na pia kuomba ushauri wenu wa mawazo ili tu nami niwe mwenye kufunzika na kunufaika, mimi nipo Mwanza...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
If u r interested kuwa kibiashara zaidi plz ni-pm
0 Reactions
1 Replies
956 Views
wanaJF nataka kujiunga na huu mtandao wa biashara katika forever living products. Tueleweshane nini kilichopo ndani kwa wale wajuzi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wana jamvi.Lengo ni kuwajuza kuwa kwa mahitaji ya batik za kisasa za mshumaa na kuchovya kwa bei nafuu.Mawasiliano 0717 539573 au email:stanslausd@yahoo.com
0 Reactions
3 Replies
4K Views
WanaJF habari za mishemishe. Naomba nifahamu kuhusu ratiba ya chanjo ya kuku wa mayai tangu kuwa vifaranga hadi mwisho wao. Ikiwezekana naomba nipate rafiki wa karibu wa kunishauri juu ya ufugaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polen kwa kaz wana jamv,nipo hapa tena leo kwa ajil ya kuomba msaada wenu wa kuninyambulshia ama kunipa tofaut kat ya hv, KUKU WAP NI WAZUR NA WANAFAIDA WAKIFUGWA KULIKO WENGNE TUKIANZA NA...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Habari wadau wa jukwaa, I hope Eidd ni njema kwenu. Ningependa kupata information kuhusu kununua vitu (nguo za kike, handbags na accessories) online kutoka UK, China, Finland Nk. kwa jumla. kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umejifunza kitu ghani kipiya kwenye maonyesho ya nanenane mwaka huu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza documentary ya robert ya rich daddy poor daddy anaehitaji ani pm na kunitumia email yake kwa malipo ya 3000 tu ahsanten sana mungu awe nanyi
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Leo ndugu wajasiriamali, Kwa uchache naomba niseme kuhusu wimbi la matapeli walioibuka katika Mitandao na kujifanya wao ni Taasisi za Mikopo na Nyingine hufika mbali hadi kujihusha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wote wasioogopa kufeli katika ndoto zao ndio wale wafanikiwao, na wale wanaopanga vikali juu ya kukwepa hasara au kupunguza hasara za biashara zao ndio wenye mafanikio ambayo hata yawe machache...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu..! Msaada hapo juu ya bei na mahali nitakapoweza kupata vifaranga vya mayai...! Natanguliza shukran..!
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nisaidiwe bei ya shamba lenye ukubwa wa eka 1 hiv bagamoyo ni ngap
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nimepata shamba eka 200 huko Kilosa na nimenunua trekta na majembe ya kulimia niko kwenye maandalizi ya kulima matunda na mboga mboga. Nisaidieni mawazo ni matunda au mboga gani nilime...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
nimejifunza mengi kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji humu JF na nimefanikiwa kujenga banda bora na kuanza ufugaji huo.MUNGU AWABARIKI WANA JF WALIONIFANYA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFIKIA HATUA...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom