Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

just visit the link below http://Cashite.com/index.php?referral=274
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ninauza Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja kwa sh. mil 3.8 tu. Kiko Kongowe mwisho Mbagala Km 3 kutoka Barabara ya lami na gari linafika mpaka kwenye kiwanja. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imani yangu itaniponya..huku kwetu kuna opportunity ya kufungua duka classic la nguo za watoto.i have already study about market saturation.nahitaji msaada kuhusu suppliers wa hizo nguo na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa wanajamvi mimi pamoja na kwamba natafuta soko la sabuni ya kunawia mikono(liquid hand washing soap) naomba kutoa ushauri kuwa kwakuwa members wa JF tuko wengi basi tusaidiane kwa sisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habarini wana JF, nimeamua kuanzisha hii thread maalum ili tuweze kupeana INFORMATION za mikoa mbali mbali kwani wana JF wanatoka mikoa tofauti. Mfano nataka kujua aina gani za biashara ni nzuri...
4 Reactions
11 Replies
8K Views
Habarini wana jamvi wote , Mimi nafikiria kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza mabonge ya barafu. Naomba kufahamishwa wapi nitapata ice cubing machine na kwa bei gani, au pia kama...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu kulingana na serikali ya Tanzania kutokuwajali wafanyakazi wake nimeamua niache kazi nifanye biashara, sasa nina kiasi tajwa hapo juu nianze na biashara gani nzuri ushauri wako plzz.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau, salam! Ningependa kujua juu ya soko la iriki. Mwenye taarifa kamili, tafadhal tujuzane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, nauza majaketi na makoti mazito kwa ajili ya kutumika sehemu zenye baridi kali kwa bei ya kuanzia sh. 20,000/= hadi elfu 70 kwa wale wanaotaraji kwenda sehemu za baridi ama wale waishio...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapendwa katika bwana, mimi natarajia kujikomboa kiuchumi kwa kujikita katika ufugaji wa kuku wa kienyeji chotara baada ya kupata mafunzo wengi kutoka kwa wataalam mbalimbali kutoka kwa kubota...
3 Reactions
44 Replies
17K Views
Habari wanajamii wenzangu, Samahani kwa usumbufu ntakaouleta ila muda mwingi nawaza biashara gani ya kufanya na bado naona kichwa kinantesa na nimeona bora niombe msaada wa kujuzwa kuhusu kufuga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba mwenye taarifa sahihi juu ya mambo kadha tusaidiane hapa.Naomba anaejua yafuatayo atusaidie. 1.Wilaya inayoongoza kwa kulima Nyanya na bei ya nyanya kwa tenga kwenye eneo la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habari!nimekuja tena jamvini hapa kuomba ushauri wenu juu ya kujikwamua kiuchumi!nina kimtaji cha shilingi million mbili,bado sijapata wazo la uhakika ni kitu gani hasa nifanye ili niweze...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
vipi wa kuu,nawazo na ndoto ya siku nyingi,nataka kufungua vedio studio,iwe in deal na production za video za movie sana sana na documetary, je ni vifaa gani muhimi naitajika kuwa navyo na kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi natengeneza batik nzuri za kuvutia kama vikoi vitambaa vya batik kwa ajili ya kushona vyenye maua na picha mbali mbali.Napokea oda kwa matukio yenye kuhitaji sare za batik kama batik zenye...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Sorry wapendwa, mi sio mtaalam sana wa mambo ya ujasiliamali ila nlikuwa naomba mniambie ujasiliamali unafaida gani na unawezaje kuwa mjasiliamali?????
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu mi npo dar maeneo ya mbezi beach,nna hela ya ziada mil 10 nmeona niangalie fursa tofauti tofauti,nimeona biashara ya bajaji ndo rahisi kwani haitaharibu mda wa chuo masomoni.wakuu hi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu mjasiriamali, nategemea kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na ningeomba wale wote wenye uzoefu waniambie vitu vya lazima vya kuwa navyo au maandalizi: Natarajia kufugia maeneo ya Dar...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata excavator ya msaada lakini ni kalipia gharama ndogo. Naomba msaada maana bei za laki 8 kwa siku sitaweza. Nataka kuchimba bwawa la samaki maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom