vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile...
katika harakati zangu za kuwa mjasiriamali nikajikusanyia ka mtaji ambako hadi sasa kamefikia milioni 4. nilikuwa najikusanyia kwa kudunduliza kamshahara na biashara za mkononi. wakati...
Umoja wa mataifa (UN) walifanya utafiti kuhusu tabia za watu matajiri duniani kote. Walijiuliza kwa nini kuna watu maskini na watu matajiri ktk kila nchi iwe nchi tajiri kama marekani na Uingereza...
KARIBU KATIKA NETWORK YA WAJASIRIAMALI TANZANIA. HII NI NETWORK YA WAJASIRIAMALI,VIJANA NA WATU WOTE AMBAO WANAPENDA KUWAJASIRIAMALI LAKINI HAWANA UWEZO WA KIFEDHA NA UTHUBUTU WA KUTIMIZA NDOTO...
1. Henry Ford
Henry Ford failed twice in business before he finally went on to build the Ford Motor Company; and became one of the richest men in the world. He has this to say about...
Nina mpango wa kumfungulia mke wangu biashara. Mimi ni mtumishi na kwa kipato changu naweza kukopa benki mpaka Tsh 15 milioni. Je, zinatosha kwa duka la nguo za wanawake na watoto? Duka hilo...
Wadau nina kuku wangu wa kienyeji wana wiki wametoka dodoma, leo asubuhi wamekufa 2,,wanaumwa mafua makali mpaka wanashindwa kuhema vizuri,wanakua kama wanakoroma na kusinzia....naombeni ushauri...
Nimejaribu kusoma post mbali mbali zinazoelezea kilimo cha umwagiliaji pamoja na gharama zake!vitu kama green house,drip irrigation systems n.k!kwa wajasiliamali wadogo wadogo wanaotaka kuanza...
habarin wakuu nimeamua kufungua blog kwa ajil ya kutoa taarifa mbalimbal za ujasiliamali sasa nilikuwa naomba mchango wenu vitu gan vya kuzingatia wakat wa ufunguz wa blog hyo na vp nitaweza ku...
Habari wakuu,
Wapi naweza kupata high quality service ya kuprint stika? Bei ikoje kwa stika moja?
Stika ni kwa ajili ya kubandika kwenye madumu ya mafuta ya kula.
Habari zenu wana jf, nimehamia dodoma hiv majuzi,mzoefu wa mapishi ya kila haina ila napendelea sana kuchoma nyama za kuku na ngombe pamoja na kupika kiti moto,dodoma ni mgeni na natamani sana...
Hamjambo wandugu,
Nimejifunza kupamba kumbi za sherehe. Sina uzoefu sana. Kwa sasa napamba kwa gharama ndogo sana ili kupata uzoefu.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi hii, naomba kufuatana...
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini...
Turubai
jipya la kuwekea kambi linauzwa kwa sh. 350,000/=. Ni kubwa lenye uwezo
wa kulaza watu 5. Linauzwa lenyewe pamoja na begi lake na vifaa vyake
vyote vya kulisimamishia.
Pia wanauzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.