Kuna kambi kuu mbili juu ya nadhari la chimbuko la ujasiriamali. Kambi ya kwanza inaamini ujasiriamali ni hali au sifa mtu anazaliwa nazo wakati kambi ya pili inaamini kwamba mtu yeyote anaweza...
Wadau,huku Sa Hv Biashara Nyng Ndo Znachpukia,hasa Za Tv,radio Au Fenicha,so Alo Tayar Tupge Kaz Me Ntakuwa Wakala Wake Huku,me Kikaz Ni Ticha Ila Napenda Ujasiliamali
ushauri wako unahitajika sana hasa kwa wenye uzoefu.nategemea ndani ya muda chini ya mwezi mmoja nifungue biashara ya bucha ya nyama na pia samaki wa maji baridi(sato na sangara wabichi).kama pia...
Mimi ni Mwl Wa sekondari nipo Chalinze,nina Duka dogo la kawaida la nguo na vifaa vingine.Kikubwa kwangu natafuta mtu yeyote ambaye naweza kushirikiana naye kwa makubaliano maalumu kuuza laptops...
napenda kuomba msaada kwa wanajasirimali wote, nataka kuaanza mradi mdogo wa kufuga kuku wa kienyeji watano(5) majike with in mind kuupanua pale jinsi ntakapokuwa nimepata experience ya kutosha
i...
WADUNGU KWA YEYOTE ANAYE HITAJI SAMAKI AINA YA SATO KUTOKA KANDA YA ZIWA KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA,BUTCHERY IPO MAENEO YA KINONDONI CORNER YA MWANANYAMARA KARIBU NA BANGO LA SM MKONO WA...
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,
hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama...
Wadau, nataka kufanya biashara ya kuuza bia za jumla. Kwa mtu mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anisaidie kujua mambo kadhaa kama vile kreti ngapi zinatosha kuanzia, upatikanaji wa bia ie...
habari wakuu,kuna hii biashara ya
kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo
na tambi za dengu,naomba
kufahamu juu ya faida na soko lake
kwa ujumla kwa dsm.mashne za
kutengenezea znapopatkana na...
We're going to use the A, B, C method from now on to break down everything
you want to achieve into small, manageable steps. Here is the A, B, C method
in simple terms.
A = Action
B =...
Habari za usiku huu ndugu zangu!
Mimi ni mdada ambae maisha yangu yote natamani kuwa mjasiriamali ila sina idea ya biashara wala mtaji .
Kushindwa kutimiza ndoto zangu kunaniumiza sana .
Naomba...
i am Going to Kingolwira Fish Farm on Satarday 30 April.
Nimefanikiwa kuchimba bwawa la samaki .nahitaji contacts details za wahusika wa Kingolwira fish farm.
kwa member aliyewahi kufika ktk hiki...
Nilikuwa naitumia ila sahivi nataka kusitisha kufanya hii biashara kutokana na kuwa bize na biashara nyingine,napatikana Tegeta.Anayehitaji anipm tuongee biashara
Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya...
Mimi ni mtengenezaji wa batiki kama vikoi na vitambaa vya kushona kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu mawasiliano 0717539573 au email: stanslausd@yahoo.com
Jamani kwanza napongeza uongozi wa JF kwa kuweka kipengele hiki cha matangazo kwa watu wanyonge ambao kwenda media mbalimbali hatuwez hivyo basi nasema Mungu awabariki.Mimi napenda kusema kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.