Natafuta Makoko yanayoanza kutaga kwa bei kati ya shiling 5,000/= na 6,000/=.
Yasipungue makoko 40.
Napatikana kabuku Tanga, kwa yeyote alie karibu ama aliye dar na mwenye mzigo huo wa kutosha...
Wakuu,
Habarini ya majukumu.
Napenda kuwakaribisha katika EDMARKTANZANIA 1ST CROWN RECOGNITION AND CAR AWARDING CEREMONNY kumpongeza mwenzetu RED JOEL aliyefanikiwa kupatazawadi ya...
wadau...nina mpango wa kufungua duka la kuuza nguo na vifaa vya watoto. sehemu ninayo ishi ni sehemu ya makazi ya watu wenye kipato cha kati na chini. pia kuna hostel ya vijana wa chuo hapo...
nina kuku kuchi wadogo wana miezi kama miwili ila ukuaji wao ni wa taratibu sana,kwa yeyote mwenye uzoefu nao naomba aniambie ndo kawaida yao kukua taratibu au hawa wangu wana matatizo?
Nanunua mafla za gari ndogo, kwa ambao hawazijui, mafla zinakaa kwenye bomba linalotoa moshi wa gari ziko kama kamtungi kadogo ndani zina ungaunga.nazinunua kati ya Tsh.30,000-50,000,kwa kila...
Wadau habari!nakuja jamvini hapa kuomba ushauri wenu. Nina wazo la kununua machine ndogo kwa ajili ya production,budget yangu ni kati ya 5m/= mpaka 8m/= kwa ajili ya ununuzi wa machine hiyo,ila...
Ujambazi kwa sasa umekuwa mkubwa sana labda kutokana na na maisha Kuwamagumu ajira hakuna kwa vijana!KILA kijana anataka awe na Nyumba nzuri gari na mke au Mme mzuri!!
Nilianza ndoto yangu ya kumiliki shule nikiwa nimeuanza mwaka wa tatu wa masomo yangu ya degree. Wakati huo niliapply kazi ya KUFUNDISHA katika shule moja ya English medium. ELIMU ya mkuu wa shule...
habari zenu wana jamvi hili la ujasiriamali. kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipita JF kama visitor tuu na sio user..ila ikafika kipindi nikaamua kabisa kuwa member.
My regret ni kwamba why didn't...
Wazima wandugu....nilikua nataman sana kuanzisha kampuni ya usafi...sasa naombeni idea yenu hii kitu inatakiwa kufanyaje...nilikua na wazo la kuisajili...kutafuta ofisi ila sijui mchakato wowote...
Courage
Inasemekana kwamba hakuna Mjasirimali aliye fanikiwa duniani bila kuwa na courage, ndo kitu pekee kinacho weza kukupeleka katika Dunia nyingine kabisa,
-Hatuweza fanikiwa katika biashara...
Habari zenu wajasiria mali naomba kwa mfugaji wa kuku mwenye uwezo wa kusupply kuku 25-30 kila siku tuwassiliane ata kama una uwezo wa kuwa nao angalau kwa wiki anagalau mara mbili au tatu uwe uko...
Assalam Aleykum Wana Jf.
Nategemea kama wajasiliamali mlifuatilia KONGAMANO kubwa la uwekezaji kanda ya kaskazini lilofanyika pale jijini Tanga
Nadhani itakua busara kama ntaibua fursa...
Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu!
Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema !
Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.