Mambo vipi wakuu. Ninaomba anayefahamu minada ya mbuzi katika mikoa ya jirani especially Tanga, Morogoro (?), na Dodoma hasa siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili anifahamishe please. Kama una...
We're giving our freedoms away. The American experiment was about freedom. Freedom to be stupid, freedom to fail, freedom to succeed.
Glenn Beck - Freedom - America - Stupid - Fail - Success...
Naomba Lawyer /mwanasheria wa kujitegemea au aliyeajiriwa ajitokeze atakayenisaidia kuandika mikataba ya wapangaji wangu jumla wako 8 kwenye biashara yangu ya kupangisha.
Naomba awe na bei nafuu...
Hi wana jf.
Ofisi inafanya kazi,uwezo wa kuingiza pesa inao,inatakiwa kuhamishwa na kufanyiwa marekebisho zaidi.
Timu ni ndogo (watu 2 tu) kulinganisha na uwezo wa ofisi.
Tunahitaji mtu mmoja...
Wakuu heshima mbele,
Nauliza hivi kiwandani wazo cement, wanauzaji kwa tani 1, yaani 20 bags, nina kisehemu nauza cement, nadhani nikiwa nanunua direct kiwandan walau ka profit katapanda panda...
Kwanza napenda kuwapa pole watz wenzangu kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha lakini napenda sana niweze kujiajiri na kusaidia...
WHAT IS A CONTINUOUS INK SUPPLY SYSTEM?.
A continuous ink system (CIS), also known as a continuous ink supply system (CISS), a continuous flow system (CFS), an automatic ink refill system (AIRS)...
Wakuu heshima kwenu.
Natumai nyote mmekua na week end nzuri kama yangu.
Wakuu nahitaji gata zile za plastick.Nimeambiwa ziko gata kutoka South Afrika,Uturuki,Malaysia,China na Tanzania...
Kwa wafugaji wa kienyeji wa wanyama na ndege huko vijijini kwetu, kuna vitu au maarifa ya kienyeji ambayo huwa wanatumia, naomba tuyajadili na kujulishana pia tuonyeshane kama kweli yanafanya...
Heshima kwenu wanajamvi
Tanzania tumekuwa na sera nyingi za kuendeleza kilimo cha mtanzania (mkulima mdogo mdogo) kwa miaka hamsini sasa. Lakini pamoja na sera nyingi na zenye mvuto masikioni...
Naona jukwaa hili linazidi kupata umaarufu. Kwa ushauri tu kuna wajasirimali wengi tu wanaokusudia kuanzisha biashara, tatizo baadhi ya bidhaa upatikanaji wake huwa mgumu na pengine gharama na...
Kwanza napenda kushukuru kwa msaada mkubwa ambao nimeupata na nazidi kuupata kutoka kwa members wa jukwaa hili hususani Mr elinino ambae nilifuatilia post yake "nimeamua kulima kwa mara ya pili"...
Wakuu salaam!
Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie yafuatayo:
1. Ni maeneo gani yanalipa ukipeleka trekta la kukodi?
2. Ni kiasi gani kwa heka moja?
3. Na ni HP ngapi zinaweza kufanya kazi (2wd...
I know it is heady to mention such a a figure, na nikiangalia kiwango ambacho mimi mwenyewe ninaweza kuwa nacho bado in 5Million TSH kwa hivyo will come clean on my plans.
Elimu has been mentioned...
Dear all
Mimi ni irrigation engineer, natafuta sana software fulani inayoitwa IRRICAD kwa ajili ya irrigation design (pressurized irrigation). Najua humu kuna kila aina ya watu. Kwa hiyo mwenye...
Jamani kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai naomba msaada wenu kuku wangu wanadonoana sana sijui ni kwa nini ikiwa mchanganyiko wa chakula ni mzuri
nisaidieni wanakwisha kwa kufa