Ndugu wana JF
Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa. Shamba hili lipo maeneo ya Msalato umbali wa km 10 kutoka katikati ya mji wa Dodoma. Shamba hili lipo karibu na uwanja mpya wa kimataifa wa...
Wapendwa,
Mimi ni practioner wa Microfinance kwa zaidi ya muongo mmoja, naendesha kampuni inaitwa Chakarika Credit Facility ambayo ni limited by guarantee. Kazi imekuwa ikienda vizuri sana kwa...
Sina kazi ya kuajiriwa kwa sasa, nimeamua kuacha kwa sababu ya kutovulia kufanya kazi na ndugu zetu wa Asia.
Nina Million 5 katika account yangu. Nime plan kufungua Grocery pamoja na kibanda...
Wanajamii. Napenda kufahamu kama Biashara ya kutengeneza na kufunga curtains majumbani na maofisini kama inalipa nzuri haga bongo, na kama kuna makampuni yapo yanafanya biashara hii kwa faida.
Nafikiria kutumia kaakiba kangu kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda. Naomba ushauri kama ni biashara nzuri kufanya au nipige chini. Km unaona hailipi nipe ushauri wa biashara...
Salaam wakuu.
Natafuta mtu wa kufanya nae potential biz ya Catering.
Kama una kampuni ambayo iko DSM, Coast Region au Morogoro naomba tuwasiliane kabla ya 31st.May.2012
PM au rakeyescarl@yahoo.ie
KWA kawaida jamii ya wamasai ni wafugaji. Kutokana na asili yao hiyo ya ufugaji, sehemu kubwa ya maisha yao imetawaliwa na tabia ya kuhamahama toka eneo moja kwenda jingine ili kutafuta malisho...
Habari zenu wandugu?
Jamani natafuta watu wanaodeal na mambo ya procurement. Some sort of consultants au kampuni. Kama kuna mtu yeyote huko, please private message me.
Natanguliza shukran zangu.
habari za kazi wanajamvi.
kuna mdau anatafuta mfadhili ili amuwezeshe kufanya record ya kipindi cha television kinachohusu masuala mbalimbali ya kijamii,mienendo yetu na namna...
Habari wadau,
Nimenunua heka 50 za pori la miti,nataka kuchoma mkaa,sasa wadau naomba kujua utararibu wa kufanya ili niweze kusafirisha mkaa kutoka morogoro kuja dar,kitu gani cha kufanya...
Wakuu
Ninayo security ya uhakika , property with tittle deed with a potential value from a valuation report (market value & forced sales value)
ninahitaji mkopo wa mtaji wa biashara, note ni...
"Strategy is defined as deliberate configuration of physical, extended,and generic attributes of a product
to fit the needs,expected outcomes and purchasing habits and occasions of target market...
Duocore 1.6ghz
Memory 2GB DDR3
Hard-drive 250GB
Webcam,DVD RW
Window 7 HP
Price: 585,000/-
1 year Hardware Warranty
Available @ Crystal Computers
Uhuru and Msimbazi
Round About
Kariakoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.