It feels a little awkward when you meet a client that asks for your website so that he can have a good understanding of your products just to learn you dont have one.
Many small businesses...
Im going to show you why you need to build your own business, and exactly what kind of business. But this isnt just about changing the type of business youre working with; its also about...
Wadau,
Watu wengi wamkuwa wakiuliza faida katika biashara ya radio, jibu hili hapa:-
1. Radio hungiza pesa kupitia matangazo. Kwa mikoa kama ya Dodoma, Arusha, Mwanza, shinyanga n.k tangazo moja...
hi ni company ambayo ilifunguliwa na baba yangu ambaye yeye ni marehemu but by the time he passed away ndo nilikuwa najiunga chuo so nikashindwa kuendeleza,company bado ilikuwa inalipiwa so babo...
habari zenu wadau. ninatafuta eneo la kulima maeneo ya wilaya ya ulanga kwenye bonde la mto kirombero ( ilagua). nilistushwa niliposikia kuwa kuna watu walioingia kwenye hifadhi ya pori la...
JAMANI NINAHITAJI MKOPO WA HARAKA SANA KAMA 5M HIVI .kuna mahali nimepata kiwanja chini ya hiyo bei sasa nataka nikinunue na kwa sasa nii invest kwenye kitu kingine nikabaki holaa nimewaza mpaka...
wakubwa mlioko dsm au pande yyt naomba msaada wapi nitapata viti imara vya plastiki na kwa bei gani, nataka ninunue ili niwe nakodishia watu kwa ajili ya shughuli mbalimbal, nitashukuru sana kama...
Welcome to Victory Mobile Network!Hi,
It's a pleasure to have you on-board. Hopefully, you'll subscribe to Victory Mobile Network sooner than later!
Our institution is dedicated to help young...
hi jf,mimi ni kijana ninayetamani sana kupata katika maisha ili tatizo langu ni mtaji mdogo nilionao kwani mpaka sasa nina laki 7 tu na cjui niuzungushe vipi angalau uongezeke kidogo,nilichofikiri...
Wadau naomba kujua utaratibu wa kuuza ndizi za kuiva katika soko la ndizi la Mabibo D.s.m na huko Dodoma,ndizi ninazozungumzia ni za kuiva kutoka mkoani Morogoro hasa Matombo na Mgeta!nilikua...
Salaam wakuu,
The issue is, am planning to staRT my own business with a capital ranging from 5-10mill. Sina experience sana ya biashara so naomba kujuzwa biashara gani kwa hapa dar es salaam ni...
Habarini wana bodi!
Tafadhalini rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi karibuni nimekutana na tathmini ya biashara moja ya kukoboa na kusaga mahindi iliyopo mkoa wa jirani na Dar inaonyesha kuwa...
habari ndugu zangu jf,naomba mchango wenu wa mawazo mie nina laki saba tu ingawa ni pesa ndogo sana,ila nataka nizungushe inizalishie kidogo kidogo na nilifikili nijumue nguo kidogo hasa hizi jezi...
jamani wana jamii sina hofu kwa msaada ntakaoupata kupitia forum hii wa kimawazo ili niondokane na changamoto inayonikabili kwa sasa. kwa kifupi iko hivi mm ni mwejeji wa mkoaX, nina ndugu wawili...
wakuu habari,siku zote naamini jf n sehemu yangu pekee ambapo naweza pata ushauri kwa asilimia 95%,naomba km hujui kuchangia kwa staha,nidhamu basi pita tu hapa,kuna biashara nimebuni ambayo...
Wakuu wa JF,
Naombeni mnisaidie mawazo wakuu, nina milioni 9 ninataka kufanya finishing ya "kiwango wa chini" ya kanyumba changu maeneo ya kibada ili nihamie. Nimeshaweka bati, gypsum na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.