BILL NA MELINDA GATES wametangaza dau la atakayeweza kutengeneza choo isiyohitaji maji wala umeme kwa ajili ya nchi zinazoendelea.
Soma Zaidi:
The Bill and Melinda Gates Foundation is on a...
Wakuu,najua benki nyingi siku hizi zinawadai audited financial statements kwa biashara na kampuni zenu kabla hazija-approve hiyo mikopo yenu ya mamia ya mamilioni...
Msiumize vichwa...
Wadau mi nipo mwanza na nimemaliza chuo kikuu mwaka huu na B.A in Public Relations and Marketing, je kwa hapa mwanza au kanda ya ziwa ni biashara gani inaweza kunitoa, mtaji wangu hauzidi laki 5...
Wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii kitu inaitwa mobile marketing. Nina uhakika wote mmeshawahi kukutana nayao, ni pale unapo-pokea message kwenye simu yako ya mkononi ikikupa taarifa ya...
naomba mchangowenu ninapesakidogo mll.2 naitaji mchango wamawazo nataka biashara mbili moja nikufungua duka languo nyingine nikufungua kibanda cha chipsi mkoa morogoro je niipi inaweza kunitoa...
Nina tsh 80m, niko Songea. Nianzishe mradi(miradi) gani ili niuage umasikini? Nisameheni kwa kukopa kabla ya kuwa na wazo kwanza. Ninatakiwa niwe nimezirudisha benki baada ya miaka 15 kuanzia sasa...
wajameni nisaidieni wapi nitapata kuku wa kiajeji kwa ajiri ya kufuga ,mfano kuchi nipatieni na gharama naitaji mitetea kumi na jogoo mmoja.natanguliza shukrani but napatikana Dar .
Wakuu heshima mbele!natafuta mtu mwenye Business Plan na Research ya hiyo business hapa Tanzania anisaidie nione kama nitaiweza na kama italipa!nawakilisha!
Natafuta Ng'ombe wa maziwa prefarably anayefugiwa ndani ya Pwani (Dar, Kibaha, Bagamoyo) ambaye amezoea hali ya hewa hiyo. Mwenye mimba, na asiwe mzee.
Mwenye tips anistue au abandike contacts...
Ndugu nimepokea taarifa ifuatayo nikaona bora niwawekee hapa:
Ordersare invited from Tanzania, Kenya and/or Uganda Primary schools to buypublications whose cover pages are herewith attached...
Mke wangu ni mwalimu wa shule ya msingi ambaye kwa muda mrefu amekuwa na wazo la kuanzisha biashara ya stationary hapa mjini Iringa. Chumba cha kufanyia hiyo biashara amepata nje ya geti la chuo...
Hii ni aibu kwa watoa huduma ya m-pesa,mfano umetumiwa hela na ndugu yako pengine hela ya ujenzi n.k,ukienda kwa wakala kuchukua anakuuliza unataka kiasi gani? anakuambia sina,unaenda tena pengine...
Habari wana Jamii Forum,
Naomba msaada kama kuna wanaojua au wenye uzoefu wa kutengeneza chakula cha kuku, anifundishe na kwa kuwasaidia wengine formula ya kutengeneza au kuchanganya chakula cha...
Kwenye kijiji ninaoishi bei ya trei moja la mayai ni kati ya Tsh 6,000/= hadi 8000/= kutegemeana na msimu. Nimepata wazo nianzishe mradi wa kufuga kuku wa mayai (kuku wa kisasa). Mtaji wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.