Shikamoo wakubwa, wenzangu na mm habari za saa hz bila kusahau wadogo hamjambo...mimi ni msichana ninae fanya kazi katika kampuni moja hv nina shida na natumai mtanisaidia ninaomba mniambie ni...
Wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Mimi naishi mji kasoro bahari na plani yangu ni kuanzisha business ya kitimoto, mtaji siyo shida. ombi langu kwenu ni kama kuna mdau mwenye plot iliyo...
Wadau naomba kuelimishwa juu ya ni aina gani ya biashara ndogo ndogo naweza fanya kati ya Tanzania na Kenya!kifupi nilikua naomba msaada juu ya bidhaha gani nazoweza pata Kenya ki urahisi na...
Natafuta mizani (ya mawe)kama kuna yeyote mwenye mizani ya kupimia kwa kutumia mawe, au anajua inapouzwa (hata used) naomba tuwasiliane chapchap. sms or call 0762959725 or ni pm.
Wadau,
Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na...
Wana JF wale wenye utaalamu na uzoefu wa kuandika Proporsala ya Media Organizer kwenye Mashirika na makampuni Mbalimbali, namaanisha kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea, hivyo naombeni...
Wana jamii naomba ushauri kuhusu biashara ya mashine ya kuranda na kuchana mbao, kwa anayeijua vizuri anishauri nataka kuianzisha, na km unajua sehemu ninapoweza kupata mashine za kuchana na...
helow
Wadau mm ni mfanyabiashara wa kati, nnaenunua tikiti maji na ku_supply jijini Dar-es-salaam. Kwa yeyote anaefanya kilimo hiki, tuwasiliane tujenge uchumi wetu. Biashara hii inafaida kubwa...
Hi wanaJF.
Nina leseni mbili za uchimbaji mdogo (primary mining licence) kwa ajili kuchimba dhahabu Magambazi wilaya ya Handeni, kwenye eneo la hekta 10. Kama kuna mtu ana interest tuwasiliane...
Mzigo mpya wa Spea za Laptop/ Kompyuta umewasili. Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri...
wadau nina package ambayo itawasaidia watu wengi sana humu ndani kwa kuwasaidia kwenye mambo mengi kwa bei poa sana,
kama wewe ni lawyer,mfanyabiashara,HR,contractor,doctor,mpangaji,mfanyakazi...
ndugu zangu wana JF naombeni mchango wenu wa mawazo kwa hiki ninachofikiria.
last week nimepata approval ya 40 million loan kwa interest rate ya 16% ambayo ntatakiwa kuwa nimemaliza mkopo kwa...
Nikiwa Kama Kijana
Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili.
Kwa Pesa Hzo Niko Njia
Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya:
-Ninafikiria Kununua Digital
Kamera Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.