Kwa Dunia Ya Sasa,kila Tasnia Inahitaji Elimu Ili Uweze Kwenda Katika Mstari Wa Mafanikio...Ni Nadra Sana Au Huwezi Kufanikiwa/Kuyataka Mafanikio Wakati Hujafanya Juhudi Za Kutafuta Elimu...
Wadau,
Nimeona watu wengi katika hii subforum ya Ujasiriamali wanaulizia namna ya kupata mikopo ya kuendesha biashara zao (hasa isiyohitaji kuweka dhamana).
Baada ya kuona wengi hawapati majibu...
Serious case............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kuna mtu anafanya kazi ktk makampuni ya uchimbaji wa MADINI au anayafahamu yalipo hayo
makampuni,,tuwasiliane kuna plot yenye madini so...
Wakuu, naomba kufahamishwa kama leo jumapili tarehe 11/11 naweza kupata huduma ya kupata bima ya kagari kangu, ninasafahari ya mkoni traffic wasije nisumbu, any one call me 0782 107 560
Salaam Mwanajamii,
Kati ya Vitu vinavyowapa shida wajasiliamali wengi wa hapa nchini ni ukosefu wa mtaji wa kutosha, na hivyo kuamua kutafuta mikopo kutoka taasisi za fedha.
Katika utafiti wangu...
Kuna fursa nyingine haijavamiwa sana na wenye mitaji mikubwa. Sasa hivi umeme unasambazwa kwa kasi kubwa ktk maeneo mengi ya wilaya ya Bagamoyo na Kisarawe. Kule kuna wafugaji wengi wa ng`ombe na...
Wadau habari,nilikua naomba msaada wenu jinsi ya kuweza kupata mikopo midogo midogo ambayo ina masharti nafuu kwa ajili ya biashara hasa ya kilimo,chakula na ufugaji!mimi ni kijana niliegraduate...
Habari wakuu?
Jamani mimi ni graduate niliyeamua kujiajiri kwa kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa mfumo wa NUSU HURIA, Wazo hili nimelipata humu humu na baada ya kusoma nikaamua...
Sababu mbalimbali za kujiajiri mwenyewe
Katika point nyingine kwenye haya maisha, kila mtuanapenda sana kujiajiri, ni wachache sana ambao ukiwauliza watakuambiahawapendi kujiajiri, Hata wahanga...
Pata elimu ya ujasiriamali kwa kujifunza biashara mbalimbali kitu cha kuzingatia unapoanza biashara yako, msaada wa unachokifanya na mbinu mbali mbali za kuifanya biasha yako ikue.
kwa wale...
Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea...
Mtaala wa elimu ya tanzania unatuandaa vijana wengi tunaomaliza elimu ya juu namaanisha vyuo vikuu kuwa mategemezi na si kujitegemea na kukomboka na elimu tuliyopata. Wengi tunafikiria sana...
Hello..!
Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap...
Habari za asubuhi wa jf,
Natarajia kufungua duka mahususi kwa ajili ya mahitaji madogomado ya nyumbani
kwahiyo naombeni msaada wa ufafanuzi kuhusiana na bidhaa zipi nianze nazo,na wapi...
Habari za wikendi wapendwa?
Bila kupindisha mada kama ilivyo katika kichwa hapo juu ni kwamba mie ni mkazi wa Arusha mjini mwenye nia ya kufanya biashara angalau yenye mtaji wa shilingi milioni...
Katika siku nilizowahi kusononeshwa ni jana, nilibahatika kusikia mjadala fulani redioni nikasikia uchumi wa Tanzania hautokani na kilimo wala viwanda bali tanzania limekuwa taifa la kichuuzi...
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.