Heri ya mwaka mpya!
Kwa anayefahamu, ni kiasi cha pesa kinahitajika kulibadilisha land rover defender or toyota hardtop la kawaida kuwa la kitalii (kuweka viti na kufunguka juu)?
Habari wana JF,
Mimi ni graduate,kutokana na tatizo la ajira Tz nimeamua kuanzisha micro-finance company kwaajili ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo amboyo tayari nimeshairegister na...
Naomba mwenye uelewa juu ya hii biashara nina mtaji wa kutosha na wilaya ninayokaa hamna huduma hii ya internate cafe so ningependa kuifanya
Naomba mwenye uelewa nayo anielekeze jinsi ya...
Kwanza naomba niwashukuru sana wana JF kwa kutoa mawazo yanayojenga pindi mtu anapokuwa anahitaji msaada huo,binafsi naomba kufahamu juu ghali ya soko la alizeti ndani ya nchi,ni kipi chenye soko...
Bata mzinga kwa wajasiriamali nawashauri kufuga bata mzinga na bata bukini kwa wingi kwani wanamnufaisha sana mjasiriamali ikiwa ni nyama mayai ulinzi wa nyumbani na pia nipambo zuri sana
Wakuu nipo Mbeya mjini,kuna mtu wangu wa karibu anahitaji kuuza vocha za simu kwa bei ya jumla ila anashindwa kujua wapi atazipata.Amekwenda ofisi za Voda,Airtel na Tigo hapa Mbeya mjini lakini...
Habari wanabodi. Nimekuwa na wazo la kufungua kampuni ya ICT & Electrical Co., kwa muda mrefu sana. Leo nimeona nilileta kwenu ili tuweze kushauriana... Ninahitaji partners wawili (2), kwa ajili...
HABARI WADAU; kama kuna yeyote anayejua/ anamjua au ana ujuzi wa kupata till number ya Tigo pesa (uwakala wa tigo pesa), naomba tuwasiliane. nilifika...
Jamani kwa Wakaazi wa DAR Nimeona Tangazo Linaloelezea Kuwa Na Semina yenye Kutoa Elimu Kwa Yeyote(muajiriwa,hasiyeajiriwa, mstaafu n.k) Kuhusu Namna Ya Kuweza Kujipatia Kipato Endelevu ,
Mda...
Jamani eeh
hebu nifahamisheni hii biashara inakuwaje maana nimepewa offer 2 leo
Moja ya mzigo unaotoka moja kwa moja from Lubumbasi
Ya pili ni iliopo hapo Dar
jamaa wanataka niwatftie wateja...
Habari zenu. Mimi katika masomo yangu ya biashara nayosoma nimegundua kwamba wanadamu wanakuwa maskini kutokana na sababu mbalimbali mfano: jinsi ulivyolelewa, jinsi unavyoamini, mazingira...
Wana jamvi heshima kwenu! baada ya kupata maelezo mengi hapa jamvini sasa nimeamua rasmi naanza kufuga kuku wa mayai. Kama kawaida kabla sijaanza ningependa kuwatembelea wafugaji,wataalam, na...
Natafuta wapi naweza kununua cement ya kuuza kwa bei ya jumla kwa kuanzia nataka nianze na mifuko kama 100.
Niko maeneo ya upande wa pugu dsm.
Naombeni msaada wa wapi nitapata, kwa bei gani na...
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii biashara changamoto zake ni kuhusu kupeleka wageni porini na milimani na ni gari gani linafaa zaidi kati ya landcruiser na landrovers na mtaji wa kuanzia nataka...
Wadau Heshima Mbele.....
Nina shida ya Line ya TIgo Pesa, nimeenda ofisini kwao wanadai hawatoi tena, najua kuna watu wenye nazo na hawafanyii kazi, naomba tuwasiliana kama unaweza kunisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.