Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

habari za kazi wanajamiii.....naomba mwenye kujua ni wapi naweza pata machine za kutengeneza daily bread anijuze...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maelezo zaidi kuhusu Banking System. Lakini the computer is uploading too slowly,kwa hiyo installment nyingine itabidi zije baadaye.
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Maelezo mengine kuhusu Banking. Nyingine nitatuma kesho.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ni maelezo kuhusu Banking System.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu!Nilikuwa napita mahali nikakuta mwanababa mmoja kwenye simu akiongea maneno hayo.Naomba mnisaidie yana maana gani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nataka kujumua mawig ya wananawake China na kuyauza tanzania kuna mtu aliwahi niambia yanalipa japo saizi ni mda umepita na kibaya aliyenipa hiyo biashara nilipoteza mawasiliano nae, wakati...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wana jf naomba kujua mahali ninaweza kupata mkopo wa kilimo, nina hekari 50 zina hati ya miaka 30 na ziko eneo la wilaya ya kasulu mkoa wa kigoma,je ninaweza kupata mkopo wa kilimo? vikiwamo...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari jamvi la JF,Leo ninapenda kuwaletea habari njema juu ya project ya Maji Block.Maji BLOCK ni mpango wa kitanzania wa kukuza matumizi ya kuvuna maji ya mvua na kuhifadhi katika matanki ya...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa Wale Wanaojaribu kutumia Bidhaa Za Nje Kama Mimi, Watakubali Hili Chukua COCACOLA YETU NA ILE Ya MALAWI Au Tumia CHUMVI YETU na Ile Ya KENYA Ukiona Haitoshi Tafuta Dawa Ya Mswaki Ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NJIA ZA KUWAANDAA WATOTO WAKO KUJA KUWA WAJASIRIMALI, Wana janvi ni ukweli usiopingika kwamba, SUCCESSIFUL ISGENERTIC, na Njia za kuanza Ujasirimali mara nyingi huanzia mbali sana, Na kwa sisi...
12 Reactions
20 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wapendwa,kume kuwa na kasumba ya wafanyabiashara wengi kuhusisha biashara zao na imani za kichawi ikiaminika watapata wateja wengi au kuzuia biashara zao zisipigwe ndumba.Binafsi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana jamii. Naombeni msaada wenu wapi naweza kupata mashine ya kufyatua matofali ya bambam imara na kwabei nafuu? Nipo Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
unaitajika mtaji kuanzai m5 na kuendelea kwaajili ya kufany kazi ya kujenga ma calvat chini ya kampuni ya nicode enterprises company LTD,kutakuwa na cotract kati yako na company,term ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi Bandugu, kutokana na hali ilivyo ya ajira kutoeleweka najaribu kufikiria cha kufanya kujikimu kimaisha sipati jibu, eti kwa mfano una shilingi milioni moja hapo unaweza anzia biashara gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714784154 au 0753784154
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, Naomba mwenye template ya partneship deed ambayo ni soft copy anisaidie. Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya Juwawa Tanzania Company inayojihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji inatafuta wataalamu wa ubunifu wa kutengeneza logo itakayokuwa inatumiwa katika shughuli mbalimbali. NAFASI iko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi nataka nianzishe kampuni ya kusaidia wanasiasa (politics lab)..kazi yake itakua ni kutrain,kupromote vipaji vya wanasiasa ambao wanaonekana wana uwezo tofauti na ilivyo sasa wapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf naomba mwenye kufahamu taratibu za kusajiri kampuni ya ulinzi,pamoja nanamna ya kupatakibali kutoka polisi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom