Jamani wana jamii mimi nina ujuzi wa kutengeneza sabuni ainazote na shampoo,mishumaa na vingine kwa sasa nataka kujikita na sabuni na shampoo,sasa nipo busy na kazi nyingine nahitaji mtu aliye...
Wana JF,
Naulizia wapi vinapatikana vifaa vya kuvunia asali, yaani mavazi maalum ya kuvaa wakati wa kuvina asali na vyombo vya kuwekea na kuhifadhia asali.
Wapi nitapata vifaa hivyo na bei zake...
Ndugu zetu Watanzania mliopo Botswana,could you please
Share your experience,kuhusu mambo ya business?hasa ni biashara zipi zinafaa kati ya nchi hizi mbili!naomba mawazo yenu wadau
Heshima yenu wanaJF, Nina wazo la kufunga kuku, kwa nia ya kujiongezea kipato naomba ushauri wa namna ya kupata mtu au mahali ninapoweza kupata ushauri wa :- kuku gani wa kufuga (wa kisasa au wa...
Nina shamba la ukubwa wa hekari 4 katika kijiji cha Vikawe karibu na Mapinga Bagamoyo ambalo nimelisajili kwa hekari mbili mbili (yaani lina hati mbili), ambalo nataka kuanzisha mradi wa ufugaji...
Wana jf,nipo chalinze,nina kiasi cha Mil.3,ninataka kuweka duka hapa,ila sina uzoefu na biashara hii.LAKINI pia nimewaza kuwa pengine kiasi hicho nifungue saloon ya kiume au kike.USHAUR TAFADHALI
wadau habarini. na biashara yangu nataka iendeleza, sasa naitaji mkopo kuweza fikia lengo hilo. nimeajiriwa kwa mkataba, na mshahara wangu si mbayaz. swali lamgu juna bank ambayo unaweza...
Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea...
niko chuo kwa sasa iringa, likizo huwa nipo dar mara nyingi na mara kadhaa kilimanjaro. sasa nina kama 1 mil. nataka kufanya biashara yoyote yenye kuendana na mwanachuo kwa maana ya muda, pia...
wana jamvi nisaidieni jamani, niko very serious nataka mkopo nijenge nyumba. ninayosite but haijapimwa ila natamani kweli kujenga kajumba kadogo kazuri. cash on hand sina na sina kitu cha kuweka...
In reality, there is a greater risk in sticking to a job than in minding your own business or putting money in investments.A job can easily be taken away from you anytime.
Yes, you can always...
Ninataka kuwa wakala wa coka je kianzio unatakiwa uwe na kreti ngapi? Na yale makontena wanayotumia yenye nembo ya kampuni wanapewa bure au wananunua?na vipi bei ya kununulia maana ya kuuzia ni...
Wengine wanasema hawa kuku ni wa kisasa ila wengine wakienyeji na vp sokoni wanatambulika kama wakienyej au kisasa na vp bei yake dar.Naomba mchango wenu wana Jf
Wadau habari!naingia jamvini ili kuweza kuomba msaada na ushauri juu ya soko la mayai mkoani Morogoro,lengo langu kubwa ni kutaka kujihusisha na usambazaji wa mayai hayo (ya kuku wa kisasa) katika...
Habari, mimi mgeni hapa natumai mtanikaribisha vizuri! Nataka kujua bei ya kununua dengu na maharagwe nikihaitaji kwa uwingi mfano tani 30 ya maharagwe nitaipataje ki urahisi? Mashambani au...
Hello JF Members, ninataka kununua mashine za kusaga na kukoboa nafaka zinazotumia umeme, pamoja na mashine ya kushona mifuko(vigunia) ya nafaka. Naomba yeyote anaejua wapi naweza pata mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.