Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, wakati wengi wakiendelea kutafuta mitaji ya biashara nimeona si mbaya kama tukipeana riziki. Nina deals mbili kama ifuatavyo: 1 - Nahitaji mtu binafsi wa kunikopesha kiasi cha milioni 100...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habar wana jf, kwa muda mwingi nimekuwa nikiwaza ni biashara gani naweza kufanya pasipo kupata jibu nina mtaji wa sh.2m je nibiashara gan naweza kufanya! Pleas jaman naitaji msaada wenu jaman
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi ni kijana niliyemaliza form six, nimepata kamtaji shilling milioni moja, nataka kufanya biashara, ila mpaka sasa sijui nifanye biashara gani, naombeni ushauri wenu wanajamvi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani? Naishi kigamboni dar and am 22yrs. Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna fremu zinapangishwa Morogoro. Ziko 5 mahali pamoja - ingawa moja imeishachukuliwa na imeanza biashara tayari. Fremu ziko maeneo ya B-Z hotel. Actually, ziko eneo kati ya B-Z na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari zenu wadau. Katika michakato yangu ya kaz nataraj kupata sh. Mil. 5, napenda kuzifanyia biashara kuliko kuziweka tu mahali. Ninaishi Dsm, naomba msaada wa mawazo kwa yeyote, biashara gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nahitaji mafuta aina ya mawese (palm oil) na na mafuta ya pamba magwanji na bei gani kwa pipa nijuze kwa haraka sana .
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hii inalipa au? Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari ndg wana JF. Napenda kuwajulisha kuwa sasa hauna haja ya kuangaika kutafuta huduma ya usafiri unapokuwa na shughuli yako ya Harusi, Msiba au Any tripe Tour. Tuna magari aina zote ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu Wajasiriamali! Leo nimekuja na wazo la kutengeneza muongozo wa mkulima(user guide). Wazo hili limekuja baada ya mimi banafsi kunufaika na maelezo (nondo) yanayotolewa humu kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa ukurasa huu mi ni kijana ambaye nimeamua kujiajiri na kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kutafuta soko la mafuta ya ubuyu haswa haswa kwa wale wanao chukua kwa jumla. kupitia ukurasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kama kuna anaye hitaji hizi Mashine basi tuwasiliane, ni Made in China ila zina Ubora mzuri sana katika kutotoresha Mayai na unaweza totoresha mayai ya Kuku, Kanga, Bata, na Hata Ndege...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Tarh 29/10/2012 niliweka post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu lakini bado changamoto zipo". Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea...
15 Reactions
35 Replies
4K Views
HABARI WANA JF. Nimeamua kuanza ujasiriamali wa kulima pilipili na nyanya chungu huku morogoro. kwa kwenye taarifa kuhusu soko la hizo product anijuze.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada kwa wale watu wanaojua kampuni zinazosafirisha vifurushi toka USA kuja Tanzania mbali ya USPS,FEDEX na DHL anisaidie kujua ikiwezekana na mawasiliano yao!asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana, Kuna mjasiriamali kilimo ambaye anataka kuanza biashara ya mazao mbali mbali yanayostawi kwa muda mfupi kutumia kilimo cha umwagiliaji, mkoani Morogoro. Anaomba ushauri wenu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina mpango wa kusupply maziwa fresh toka kibaha kuja maeneo hapa dar. Ni watu gani ni wa kuwaona wataonunua kwa bei nzuri. Coz, ntakuwa nikinunua kwa 1200/- kwa lita, nina kuna uwezo wa kupata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani wap naweza pata mkopo wa laki3kwa intrest nzuri na marejesho kila wiki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom