Wakuu nawasalimu sana. Napenda kabla ya yote niappreciate michango yenu hasa katika forum hii, imekuwa ikinisaidia sana. Sasa turudi kwenye uzi huo hapo juu:
Naomba mwenye ushauri juu ya jambo...
Hawa nimiongoni mwa wafanyabiashara wanaokutana na mazingira magumu sana pindi wakiwa kwenye ofisi zao.
Natumaini wengi wetu tumeshakutana au kuona jinsi gani hawa jamaa wanavyofanya hizo...
Heshima kwenu ndugu!! Nina mjomba wangu anastaafu mwaka huu! Na pensheni yake itasoma kama Mil 50,hivyo wadau Naomba mchangunuo wenu Wa biashara gani afanye!!!
Wakuu nina eneo la robo tatu eka Morogoro maeneo ya Nanenane karibu na shule ya sekondary Tubuyu. Ni eneo lililopimwa na documents zake ninazo. Kwa sasa nimelizungushia ukuta lote na kuweka geti...
niko kwenye semina ya ujasiliamali Tumain university Iringa na watu wa ILO asikudanganye mtu hawa jamaa wako fiti kwenye mambo ya enterprenuership nitazd kuwapa yaliyojili
Ndugu katika jamii forum, mimi ni kijana wa kitanzania, nategemea kuhitimu mafunzo ya uhandisi katika fani ya uchenjuaji madini( mineral processing Engineering) mwezi wa sita mwaka huu. kutokana...
Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika.
Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji...
WADAU NAOMBENI USHARI KWENYE SWALA LA UJASIRIAMALI,NINA MTAJI WA KAMA MILLIONI 7 NAOMBENI USHARI NAWEZA KUFANYA BIASHARA GANI? SINA UZOEFU KABISA KUHUSU BIASHARA.NATAKA KUACHA KAZI NIJIKITE KWENYE...
Waungwana
Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza Personal Computers (Windows) mpya, kwenye miji hii:
1. Mbeya
2. Iringa
3. Kigoma
4. Mwanza
5. Tabora
6. Mtwara
Ningependa kujua, kwa wenye kuishi...
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari...
Habari wana JF! Naomba nifahamishwe kuhusu taratibu za kufuata ili kuwa wakala wa Luku. Pia malipo kati ya wakala na Tanesco yapo kwa utaratibu gani. Pamoja na experience mbalimbali za...
Habari wadau!
Nina mpango wa kuanzisha kituo cha television (entertainment) hapa nchini lakini sijui natakiwa niwe na mtaji kiasi gani.Tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipatia makisio ya juu ya...
Jamani naomba msaada wa kitaalam kwa sababu kuku wangu utagaji wao uko chini sana kiasi ha asilimia 65 na si zaidi tena hapo wamejitahidi sana mara nyingi wana kuwa chini ya hapo
Hebu tembelea blog hii ya UCHUMI KWANZA utajifunza mengi
Tanzania kuna fursa nyingi sana za kujikwamua kijasiriamali maana serikali imetutupa
Mwezi ujao kutakuwa na semina pale Kibaha Maili Moja...
Wanajamvi kumekuwapo wenzetu humu jamvini wakipata pesa hawajui lakufanya. Nimejaribu kufanya maulizo kuhusu hizi kitu GH na haya ndo majibu waliyonipa. Web yao ni Greenhouses in Kenya | Borehole...
Habari yako mwana-JF?
Nataka kujihusisha na ukopeshaji wa fedha kwa ngazi ya chini (yaani Tshs. 50.000-Tshs.200,000), ningependa kujua kwa ukopeshaji huu, ni utaratibu gani utumike ili nifanye...
Nawasaliimu wote
natumaini all of you are doing fine kabisaa
Nina kitu nawaomba mnisaidie mwenzenu!!
Nina pikipiki ambayo haina kazi nataka niifanye ya biashara iniingizie kitu kidogo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.