Habari wadau, siku zote naamini watu wengi wamefeli kweny biashara sababu walifanya biashara kisa tu kuna baadhi ya watu ziliwatoa, naamini kila mtu anakua na kitu moyoni mwake na kama ukikifata...
Naitwa Raymond Mpendwa, kijana mjasiriamali wa kitanzania. Ningependa kuitangaza Wapendwa Massage Center kwenye Blog yako. Sisi Wapendwa ni muunganiko wa vijana wajasiriamali wa kitanzania ambao...
wadau natafuta sehemu ya kuweka car wash ,ninazo machine tayari natafuta tu eneo ambalo lina maji ya kutoka na lenye biashara km kuna mtu an idea yoyote anieleweshe ndugu zangu.
WanaJF,
Majuzi nilikuwa nawasikiliza wasomi wa SUA walioenda Uturuki na kurudi na taaluma nzuri hoticulture. Ktk maelezo yao nilifurahi JInsi ambavyo unaweza kulima hekta moja (eka 2 na nusu) na...
Habari wandugu
Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa...
umeme wa solar unasaidia sana maeneo ambayo umeme haujafika. Na pia kwa mjini kwa tatizo la kukatika umeme solar ni suluhisho. Kwa wale wanaohitaji huduma hii ya solar kwa mkopo tunawakaribisha...
Habari wana jukwaa,
Tafadhari naomba kwa anayejua wapi vinapatikana vifaa tajwa, naomba anifaamishe, niko Dar.
Natanguliza shukrani.
Wakubwa, samahani title imekosewa kidogo, hapo kwenye...
Jamani wataalamu wa kufikiri ninataka kununua bajajy lakini sijui ubovu wake na matatizo ambayo zinazo.nataka kuinunua kwa ajili ya biashara ya abiria.
Naomba ushauri wa aina zake na ubovu wake...
Helo peoplez!
Poleni na shughuli za kila siku.
Naomba msaada wa majina ya vitabu vizuri vyenye kuhamasisha kuhusiana na ujasiriamali ambavyo naweza kupata online.
Mfano kama: Rich Dad Poor Dad...
Wadau mnao fahamu please, naomba kujua kama umeanzisha blog yako na unaitumia kwa mambo yako, je unaweza kuiendesha kibiashara pia, YAANI richa ya mambo yako je unawezaje kuitumia kujipatia japo...
Wanajf!
natumaini nyote mu wazima mkiendelea vyema kulijenga taifa letu.
nauliza soko la madini ya ruby kwa dar na kama unafahamu bei kwa point na mambo mengineyo, tafadhali naomba nijulishe...
NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI JIJINI ARUSHA.
RAFIKIeLIMU FOUNDATION kwa kushirikiana na Taasisi ya VISION FOR YOUTH ya Jijini Arusha, wanakuletea SEMINA YA...
Habari wana jamvi natumai mu wazima wa afya, Naombeni msaada wenu nategemea kupata pesa kama ml.10.
Je? mnanishauri nifanye biashara gani hapa Dar au around mkoa wa Pwani?
Natanguliza shukrani zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.