Habari Ndugu.
Aramex Tanzania, inafuraha na heshima kuanzisha huduma mpya iitwayo Shop na Ship (SNS).
Ukiwa kama mwanachama wa SNS, utapata Sanduku (Mailbox) Marekani, Uingereza na China, hii ni...
Habari zenu wana JF, ninaomba msaada mwenye kujua kuhusu biashara ya chips yaani kibanda cha chips kwa hapa dar. Mtaji ni kiasi gani?na faida yake? Na ushauri wowote katika ili.nitashukuru.
I am working with an American company, currently expanding in Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya and we are looking for open positively minded people, interested in business that would like to...
Wajasiriamali naombeni ushauri kwenye kunishauri aina ya biashara ya mtaji mdogo wa tsh laki 2. Mtendaji ni mama mtoto wangu.yuko flexible kiasi anaweza kufanya biashara za aina tofauti.
Mkoa ni...
Wakuuni ukweli usio pingika kwa mba hali za kiuchumi ni ngumu sana, na vilevileukizingatia kwamba tuko kwenye Dunia ya Utandawazi ambao tunaambiwa Dunia nikijiji, na na Ukijumulisha na...
Wakuu habari zenu,naomba mwenye kujua mahala nairobi ambapo naweza pata bidhaa za electronics original kwa bei nafuu kama vile simu,external hardisk,flash,memory cards etc.ni ya biashara.
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza...
Bila shaka tunategemea na kumekuwepo na mabadiliko kadhaa ya sector hii ya usafiri Dar, sisi kama wadau wa hii huduma tungependa kuelewa nini taratitu/mwelekeo/Policy/Vision ya SUMATRA katika...
Nauza laptop mtumba kutoka canada aina ni ibm kama inavyo onekana bei tsh.280,000 tu.
specification
1.hard disc 40gb
2.processor 2ghz
3. Ram 512mb
inasifa ya kuhifadhi chaji kwa muda mrefu
kama...
Habari zenu watanzania
Mimi ni kijana nilie na umri wa miaka 28 ni mtanzania mzaliwa wa zanzibar elimu yangu ni form 4 ninaujuzi wa kutumia computer na kuitengeneza kwa hardware and software pia...
Habari wana JF?Naomba msaada wenu wa information juu ya bei za mashamba huko Morogoro vijijini nataka kwa ajili ya kulima mahindi,maharage nk.Naomba pia kujua makadirio ya gharama za vibarua...
Wafanya biashara kutoka nje ya Tanzania wanataka kujua kama wanaweza kupata mananasi kutoka Tanzania. Mwenye kujua ni wapi yanapatikana kwa kiwango kizuri (quality & quantity) anijuze na kama kuna...
Hi JF!!!,
Najisikia vema nishare some important business tips with those interested in business, as for today read the following:
Everyone wants more customers but some customers
are just not...
Wakuu nataka kufanya biashara ya tigo pesa. Hata hivyo, tigo wenyewe kwa sasa hawatoi line hizo hadi mwishoni mwa mwezi febroary. Kama kuna mtu anauza kwa sababu yo yote ikiwepo kusitisha biashara...
Eti nikitaka kuanzisha kampuni ya usafirishaji dar...niwe upande gani ili nipate uhakika wa kula...ninunue coaster au nitafute gari ya mizigo ???jf mchango wenu please
Waheshimiwa habarini za kazi!!
Baada ya kutumika serikalini n akwenye mashirika mengine nimeweka mkakati wa kujiajiri ifikapo 2015 na nimedhamiria kujikita katika KILIMO NA UFUGAJI!
KILIMO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.