Sisi ni wafanya biashara ya mazao, tunanunua mazao kwa wakulima kule ulanga,tunalipa ushuru wa mazao wa tsh 2500/= kwa gunia hii ni kwa wilaya ya Ulanga. Tuikifika hapa ifakara, baada ya kukoboa...
Wakubwa Zangu Shikamooni, Wadogo zangu Marahaba, Nahitaji Msaada kidogo wa kibiashara, Nataka kufungua Stationery, Je ni Kiasi yaan minimum Ambayo nayoweza nikaanza nayo kufungulia Biashara...
Wajasiriamali,waandishi MIRADI YA BIASHARA / TAFITI wanakaribisha wanajamii forum.
Ni kikundi kilichojiajiri kwa kuandika miradi na tafiti kwa Vikundi, Binafsi, Makampuni na Mashirika ya Umma au...
wandugu hivi bajaji huwa inalipa sh ngapi kwa siku, dereva nae analipwaje?
toyo je , inalipa sh ngapi na dereva nae analipwaje?
bodaboda je?
sio mbaya kwa wenye uzoefu mkituambia huwa zinanunuliwa...
Heshima wakuu
Naomba mwenye uelewa kuhusu masuala ya ujasiriamali mana nasikia kila siku vijana tuwe wajasiriamali lakini sijapata elimu kuhusu ujasiriamali kwahiyo mwenye uelewa hata kwa maana...
Hello wana JF ambao mpo huko nje bei ya sangara wenye label ya Eco kwenye supermakert za huko mnanunua shilingi ngapi? Bidhaa ya namna hiyo yenye nembo ninayozungumzia inatoka Tanzania tu hakuna...
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
A Canadian company from Toronto is looking for :
Cloves, Cardamon and Black Pepper from Zanzibar and from Mainland.
If you have contacts for these products, please, let them know.
Their email...
Habari wanajamvi,nina mpango wa kusajili kampuni ya money transfer itayodili na mpesa na mitandao mingine,shida yangu ni kwamba sina mtaji wa kuanzia,je,nikienda benki naweza kupata bila shida kwa...
Wadau nimeanzisha kampuni yangu mpya inashughulika na consolidation and deconsolidation(import and export), parcaging, warehousing, door to door delivery na other logistics zinazo husiana na...
I hope all is well wanajamvi!
Ninajishughulisha na masuala ya ujenzi (construction), mimi na wenzangu (baadhi ya kampuni za construction za wazawa) tuna mpango wa kuunganisha nguvu na kuanzisha...
Hi
Due to the challenges facing our Nation, we as Engineers have decided to give what we learn in school back to our fellow Tanzanians by providing them with fast and reliable services in...
Wana bodi habari,
Mkuu Mlachake alianzisha uzi siku chache huko nyuma na kuwataja baadhi yetu kuwa tuunganishe nguvu ili tutoke na kitu. Wazo lako halikuokotwa na kunguru bali tulilichukua na...
habari wanaJF,
kwa siku nyingi sasa,nimekuwa nikiwaza kuhusu export business,hasa kwa kutumia usafiri wa ndege,,target countries zangu zikiwa Scandinavian countries,ujerumani,uingereza na...
Hi guys. Naombeni ushauri kuhusu tractors. Tractor aina gani linafaa kulima in most areas in Tanzania? Wapi ninaweza kununu used one? Bei ziko vipi? Naweza kuagiza toka europe/wapi? Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.