Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana...
Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli.
Majibu tuliyo nayo niya written tu
Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima...
JF salaam 🙏
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni...
Habari wanaungwana,
Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya bwawa la samaki. Ningependa kujuzwa kuhusu yafuatayo:
1. Ni samaki gani ni bora kwa biashara hii?
2. Gharama za kuanzisha bwawa ni...
Kwa mliokwenda nchi za nje mfano bara la asia uwezi kuziona hizi pilipili za mwendokasi.
Mfano China ni walaji wazuri wa pilipili, ukikutana nao sokoni uwezi kuona wananunua hii jamii ya pilipili...
Cocoa hustawi katika maeneo yenye hali ya hewa ya joto kiasi na mvua nyingi au unyevu kutokana na uwepo wa chanzo kikubwa cha maji iwe mto mkubwa au ziwa au Bahari. Maeneo yanayofaa zaidi ni...
RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa...
Ushawahi kujiuliza Ama kusikia mtu akisema, “ Mbona nimechanja na Kuku wangu bado wakaugua na Kufa!”
Ama Mganga/Daktari analaumiwa “Mbona Mbwa/paka wangu ameugua na Chanjo ulitoa?” Kabla ya kupata...
Kwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya...
Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona wenzetu wazungu wameadvance sana. Especially wanaokaa kwenye maeneo makubwa, wanawekeza katika kujenga mabanda ya kuku yanayotembea (mobile chicken coop)...
🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏
Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji...
FAHAMU KUHUSU KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga (Lushoto), Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha.
Hoho hutumika katika kutengeneza rangi za asili...
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nauza miche 2000 ya pili pili aina ya loleza kwa bei ya mche mmoja tzsh 100 , ipo tayari kwa kupandwa na ime hudumiwa kwa mfumo wa kisasa
Location Chamwino...
Habar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni...