Mimi ni mkulima wa strawberry na nmeanza kilimo Cha strawberry tangu January mwaka huu Ila bado sjafanikiwa kuona MATUNDA sjui ni wap nakosea Ila nmejitahidi kufuatilia bado sjapata ufumbuzi wa...
Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja?
Wakuu leo asubuhi bandani kwa kuku nilisikia kuku wakirukaruka, kelele kama wanapigana na vurugu, baada ya kufungua Banda...
Habarini za majukumu wanajamvi. Ningependa kujuzwa na kupewa ushauri wa aina bora (brand names)za zana za kilimo kama vile matrekta, mashine za kukamulia alizeti, karanga nakukoboa mpunga na...
Habarini Wadau,
Ninahitaji Mtu wa kulima nae kwa Share katika Eneo la Arusha mjini lenye ukubwa wa Ekari 1 na nusu. Eneo ni zuri sana lenye rutuba na jirani kuna Mto unaopitisha maji.
Pia pumb...
Wote tunajua shughuli kuu za kiuchumi Kama Kanda ya Ziwa ni Uvuvi, kilimo, ufugaji, madini.
Kanda ya Kaskazini Kuna Kahawa, Mahindi, Migomba
Kanda ya Kati Wanalima Zaidi Alizeti, Karanga, Zabibu...
Miaka ya karibuni vijana wengi wamejiingiza katika biashara ya ufugaji wa Mbwa wa kisasa kwa kuimport mbwa nje kama Germany shepherds long coat, Boerbull, Caucasian shepherd, Rottweiler's na...
Salaam wanabodi wenzangu.
Naomba kujua mishahara ya watalaamu wa mifugo, hasa animal production kwa ngazi za cheti, diploma na degree. Hii mishahara iwe kwa scale za serikali ili nitumie kama...
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu...
Nina stock ya kutosha ya mbegu ya pilipili mwendokasi
Imechambuliwa vizuri na inaota vizuri sana
Zina rangi ya njano, ni OPV siyo Hybrid.
Piga/sms/Whatsapp 0752042670
Habari za jioni wana JF, nimejaribu kusearch kama kuna mada yoyote humu ndani inazungumzia project ya unenepeshaji wa ng'ombe wa asili kisha kuwauza, ili nipitie maoni lakini hakuna popote...
Habari,
Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo.
CARROTS
SPINACH (Fordhook Giant)
SUKUMAWIKI (Collards Green)
BEETROOTS
Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu
0752042670
Ndugu wanaJF poleni na majukumu.
Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia...
Kwema wakuu
Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
Wakuu Wa Kilimo habari!
Naombeni kujuzwa habari za hawa jamaa wanajiita JATU KILIMO, wao wanajinadi kuwa ni kampuni kubwa lenye makao yake dsm, Kazi mojawapo wanayofanya ni kuwasadia wakulima...
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu...
Wakuu habari za mchana,
Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono.
Hivyo...
Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa.
Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2.
Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000.
Ukiuza kwa 600 kila Nazi (...
Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American...
Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti.
Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima...