Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao...
Habari
Kuna mbegu za cannola kila 27 na hizi zimesalia baada ya wadau kuchukua kilo 45.
Sasa basi kama unahitaji wasiliana na mimi now na 1 kg 24, 000/
Kama una plan kulima kiasi chukua sasa...
[emoji271]Grafting na budding ni mbinu za bustani (Horticultural techniques) ambazo zinatumika kuunganisha sehemu za mimea miwili au zaidi ili zikue kama mmea mmoja.
[emoji271] Vyanzo mbalimbali...
Ndugu wanajamvi,
Kama uko tayari kuingia SHAMBA msimu huu wa KILIMO karibu tuunganishe nguvu kazi,twende tukampige mkoloni Kule Katavi.
Kama na wewe uko tayari na unayo nia kutoka moyoni na...
Wakuu habari.
Kama wewe ni mkazi ama umewahi ishi miji ya mwambao mwa ziwa Tanganyika utajionea anina nyingi sana ya samaki wakiwamo Migebuka,kuhe,dagaa kigoma n.k.
Ukiachilia mbali dagaa wa...
"Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022.
Waziri Bashe amesema baada ya timu ya...
Serikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku.
DAO kutoka 131,676 hadi 70,000
Urea..................124,724 ...........70,000
CAN ...................108,156............60,000...
Ndugu wakulima wenzangu tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa.
Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa, utumiaji wa mafuta, gharama za spea, Pia hayo matrekta used...
Asparugus ni mboga ghari sana, kwa sisi kajamba nani sio rahisi tuzimudu, Lazima uwe vizuri kuweza kula hizi mboga.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Zao hili lilianza kuingia nchini kutoka Uganda mnamo mwaka 1954 kupitia kwa mkulima mmoja wa kijiji cha Kiilima wilaya ya Bukoba Vijijini.
UTANGULIZI
Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo...
Nafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana
kwanza
-Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA)
-Soko la kusua sua
-Bei zake si kubwa...
Habar wanajamiii.tuna tani zaidi ya 30 za mbaazi tunatafuta soko .Ni wapi tunaweza kuuza
Kama kuna mtu anamjua mnunuzi basi asisite kuwasiliana nami na mchakato kuanza punde.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.