MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea malalamiko 13 ya wavuvi wa samaki katika Ziwa Victoria ikiwemo utitiri wa kodi pamoja na...
Imeandikwa na Dr.Yahaya Msangi.
SHAMBA LA KOROSHO JIMBO LA KERALA INDIA: KOROSHO TAMU LAKINIII MM,…..MADHARA YAKE NI MAKUBWA!
Jimboni Kerala kuna shamba la kampuni ya Kasaragond Cashew...
Habarini za leo,
Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto...
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni mkulima kwa Sasa nipo dar nahitaji kufaham mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma na maeneo yanapopatikana kwa hapa Dar.
Ni hayo tuu ndugu zangu
Habari wataalamu wa kilimo na mifugo.
Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia...
Habari ndungu,
Mimi nimfugaji wa nguruwe ni nimekuwa nikipata shida kwenye kunyanganya chakula kizuri cha ziada kwa ajiri ya nguruwe wangu na sitaki kuwalisha mabaki ya chakula.
Kwa anayejua...
Nimekuwa na kawaida ya kutembelea vijiji mbali mbali, juzi nilikuwa Mufindi, nikakutana na Wachina kijijini Mapanda wanatafuta miti kwa ajili ya fenicha kiwandani kwao.
Siku moja nilikuwa...
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAANZA KUFUGA KUKU KIBIASHARA
1. AVAILABILITY (uwepo wako)
Kabla ya kuanza ufugaji wa kuku kibiashara hakikisha unapata nafasi ya kushiriki kwa karbu katika mradi...
Mambo vp Wadau wa ufugaji.
Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
Habari kwa wote.
Nimeliona tangazo la wizara toka kwa Mh. Mashimba Ndaki , ni fursa nzuri kwa vijana japo wigo umebanwa kidogo maana wamepewa wahitimu wa mafunzo ya mifugo kwa ngazi ya...
Nipo Njombe vijijini (Kata ya Ikondo) ambako mazao yanakubali bila aina yoyote ya mbolea. Ipi mbegu bora ya alizeti yenye mavuno mengi, na makadrio ya gharama ya uendeshaji (running cost) up to...
Habari wakulima na wafugaji, naomba kuuliza kwa wakulima, je inafaa ķurudia kupanda mbegu za mahindi za hybrid ambazo umeshazitumia?
Mfano kwenye mvua za Masika umèpanda mbegu za hybrid, halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.