Habari wakulima, mimi naomba kupata mawazo chanya juu ya kilimo cha tumbaku hasa kwa mkoa wa mbeya wilayani chunya maana nimeelekezwa huko kilimo kinakubali.
Kwa wazoefu na hili zao naomba uzoefu...
Habari za leo,
Ntaomba kufahamishwa kuhusu Hawa Bata,nataka kuwafuga kwa kweli.
Huwa naaikia wanataga mayai mawili tu kwa mwaka.
Kama Kuna taarifa nyingine au kuna mtu anawafuga, mwenye uzoefu...
Wakuu haya maonyesho yalisogezwa mbele nazani kwa sababu tunajua, so yanaanza 26 mwezi huu, so wanao enda wanyoshe miko juu tuone tunafanyaje.
Kuondokea ni Arusha asubuhi saa 10 tunachukua Noha...
Mzazi wangu kalima matikiti hekari 5. Ni kilimo cha umwagiliaji. Hakushirikisha mtu yoyote. Kulima, kununua mbegu, gharama za mafuta kuvutia maji katumia zaidi ya 20,000,000. Na ni Mara ya kwanza...
Habari wadau.
Embu wajuzi wa haya maeneo tupeane uzoefu katika biashara ya mazao ya kilimo na mifugo lengo ni
1. kujenga rice and maize processing mills na ufugaji kuku wa kienyeji.
AU
2. Food...
ndugu zangu wana JF nimefuatilia mijadala mbali mbali juu ya bei za nafaka kupanda, ila watu wana mitazamo tofauti tofauti kama ifuatavyo
1. kuna wanaosema kwa sasa wakulima wananufaika kwani bei...
Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi kahawia na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea,mazao au matunda, kunakosababishwa na vijidudu...
Wakuu , pole na hongereni na weekend !
Mimi nimeamua kudeal na kilimo cha mazao ya mbogamboga kwenye eneo langu lenye ukubwa wa ekari moja ninalolimiliki mwenyewe baada ya kulima kwa kukodi...
Hello! Natafuta mtu anayefanya au kuniconnect na wakulima wakubwa na wa saizi ya kati sehemu yoyote Tanzania wanaojihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali! Ikiwemo Parachichi, Maembe, Pilipili...
Nipo mkoa wa Tabora kwa kipindi cha takriban miaka 10 sasa.
Nimebaini wananchi wanalima sana zao la Tumbaku kila mwaka na wanalipwa vizuri tu lakini ukiangalia mambo ya maendeleo kwa wakulima...
Nimekuwa nikitafakari kitu cha kuwekeza kwenye shamba ambaloo liko sehemu ambayo ni remote kidogo.yaani watu bado hawaishi wengi,na ningependa kufaanya kkilimo.kwa muda wa kama miezi...
Habarini wadau wa hapa.
Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi...
Naomba kuuliza, je, banda la kuku wa kienyeji na chotara linahitaji madirisha makubwa sana au ya kawaida tu?
Na katika madirisha hayo, yakiwa wazi halafu kipindi cha masika mvua ya upepo...
Kwanza Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara na Wilaya ya Tunduru hatujazoea mvua za vuli na tunategemea Sana korosho zenye kuhimili joto. Sasa msimu huu sijui itakuwaje maana mvua ya maembe imeanza...
Majuzi nilienda kununua mbolea kwenye Kampuni ya mbolea ETG. Nikaambiwa, mbolea zote zimeandikwa RUZUKU. Hakuna nafasi ya kupata mbolea kwa njia nyingine yoyote.
Ikumbukwe kwamba, wapo wakulima...
Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300...
Habari za majukumu wanajamvi,
Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona.
Kuna...
UBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO
MBEGU YA TO 135 F1
Sifa Kuu
1. Ina matunda Makubwa na Magumu.
2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri
3. Inastahimili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.