Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika.
Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika...
Changamoto ya ufugaji wa kuku huja kwenye gharama za chakula. Kwa yeyote mwenye formula nzuri ya Chakula cha kuku chotara tupeane elimu zaidi kwaajili ya mafanikio zaidi.
ASANTENI
Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha.
Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa...
Mimi ni mfugaji wa kuku hapo sina uzoefu sana ila katika zoezi hilo nimekutana na changamoto ya ugonjwa ambao nimeshndwa kuutambua, naombeni ufumbuzi wa hili tatizo wakuu.
Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku?
Yeye: Salama...
Wataalamu naomba kuuliza.. Nina ekali 1 na nusu, iko tambalale kabisa, na kuna kisima cha kuchimba na mashine, kina maji mengi sana ya kutosha, na tanki lake lipo juu la lita elfu 10.
Eneo hilo...
Wataalamu wa kilimo mnishauri,Nimelima nyanya Miche 5000 .Ina mwezi mmoja Toka nimeipanda mbegu nimetumia. Tomato mwanga.
Kuna changamoto imejitokeza majani kubadilika rangi .ngoja...
Wakuu habari napenda kufanya ufugaji wa bata ila nakwamisha na mazingira niliopo naomba ushauri au hata msaada ili niweze kuongeza kipato kupitia ufugaji huu ninaishi Mombasa nimepanga chumba...
Boga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo, ngozi yake ni nyororo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani. Katikati ya boga kuna...
Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,
Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.
Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm...
Habari Wana JF,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka nilime kitunguu maji nikiwa serious.
Wenye uzoefu na zao hili au mwenye ABC pia naomba anipe ushauri changamoto, cost na maeneo ambayo...
Habari wana JF. Naomba mwenye uzoefu au utaalamu wa zao la korosho anisaidie kujua mahitaji ya kuanzisha kilimo hiki. Nataka nitafute shamba(virgin land) kwa kilimo hiki, napenda nijue maeneo...
Natamani ufunguliwe mjadala wa korosho, yajadiliwe yafatayo! Maandalizi ya shamba, mavuno na mauzo (soko). Kwa kuanzia najua kwamba haijawahi kutokea pasiwe na malalamiko yanayohusu zo la Korosho...
WanaJf,
Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million.
Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza...
Hàbar Wana JF,
Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu...
Habari wapendwa,
Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn)
Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.