1. Maandalizi ya pembejeo, hapa inajumuisha vitu Kama mbegu,mbolea na madawa ya wadudu. Ilikufanya kilimo kiwe chenye tija maandalizi ya pembejeo lazima yafanyike kabla ya Jambo lolote.
2...
Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same...
Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa.
Taarifa ninazoomba...
1. Videos
Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako!
2. News Story
Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa...
Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za...
Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa...
Nimemaliza chuo narudi kijijini nakutana na yaleyale, nikaacha kazi na kuingia kwenye tech nikiamini tech itatatua matatizo haya mpaka kilimo, nakutana na tech Ecosystems yenye maneno mengi...
Salaam wakuu! Naombeni msaada wenu ni vitu gani nahitaji kuzingatia katika mashine za kusaga na kukoboa unga(sembe + dona). wenye udhoefu naombeni mnijuze aina bora ya mashine, wapi naweza pata...
Habari wadau?
Naomba kuuliza, je, inawezekana kuwafuga kuku chotara na kuku wa kienyeji kwa kuwachanganya katika banda moja?
Yaani, unakuwa na banda moja la kuku hao (kienyeji + chotara) ila...
Hellow wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, muhitimu wa bachelor degree ya Agronomy kutoka SUA, baada ya masomo yangu nimewahi kufanya kazi kama field officer katka project ya...
Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi ya kiserikali au kampuni binafsi inayokodisha screen house kama unafahamu naomba unijulishe.
Sent from my SM-A025F using...
Hello wana JF
Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga;
najua wewe ni mbunifu sana!
Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha...
Wakuu salaam Sana,
Baada ya kuchoshwa na ajira nikaamua nirekebishe maBanda nianze kufuga Hawa kuku wa week nne (broilers) ila Sasa nimekuja kukwama baada ya kusaka vigaranga bila mafanikio na...
Habari za wakati huu waungwana!
Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana...
Heshima kwenu ndugu zangu wa jf.
Nije moja kwa moja kwenye mada. Nategemea kukusanya Soya zipatazo tani 20 na kuendelea. Mwenye kujua soko lake la uhakika naomba anijuze ndugu zangu.
Natanguliza...
Kigoma wanaishije lakini?
Nimeshuhudia kupitia ITV habari Wakulima wanalalamikia mbolea ya Ruzuku wanaifuata mjini na wakifika wanakaa foleni zaidi ya Siku tatu ndio unauziwa
Ndio najiuliza...
Jembe halimtupi mkulima. Huu msemo umetamalaki sana hapa kwetu Tz, lakini mara kadhaa huwa unakuwaga na ukweli ndani yake.
Msimu wa 2018/19 nilijaribu kulima mpunga Bahi hekari 5, japo nilikodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.