Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habarini za muda huu wakuu? Salama? Ninaomba msaada wa bei ya ufuta kwa sasa. Asanteni sana
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Mwaka huu baada ya kuuza mazao yangu natarajia kununua tracta kwa baje isiyo zidi Ml35 Kwa mwenye uzoefu tracta lina lipa zaidi kulima shamba lako binafsi au kukodishwa na kulima...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau habari za jioni, naomba nijikite kwenye mada Kama inavyo someka, anayejuwa chanjo ya kuku wa kyenyeji tafadhari anisaidie maelekezo
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka
1 Reactions
4 Replies
738 Views
Katika mizunguko yangu nimekutana na mti unaozaa matunda amabao ndani yake ni kama karanga, katika kudodosa mtandaoni nikagundua unaitwa PACHIRA AQUATICA. Mti huu hufahamika zaidi kama mti...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wabishi wenzangu wa kilimo cha kutegemea mvua,waliothubutu kuweka mbegu za mahindi tukutane hapa ili tupeane updates mbali mbali. Mimi nilipanda tarehe za mwishoni mwa mwezi october na...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna kuku waliatamia muda mrefu bila kutotoa. Nahisi hayakuwa na mbegu. Baadae kumezuka utitiri mwingi mno kwenye mazingira yote ya ndani na nje ya banda. Nimepiga dawa kuua wadudu aina ya Rungu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, msaada tafadhali, Nilinunua Bata mzinga siku za nyuma. Kama wiki mbili zilizopita Bata jike alianza kutaga na kufikisha mayai 6. Baada ya muda nikakuta yamepungua 2. Nikawa na wasiwasi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wAkuu habari zenu, samahani mwenye kujua anifahamishe mwanza Maziwa ya Mbuzi napata wapi?
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naingia rasmi kwenye kilimo na nahitaji kulima kisasa sababu nyenzo ninazo. Nahitaji huduma ya kupima soil pH kwa ajili ya kujua aina ya mazao ninayoweza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hapa tutajikita zaidi kwa Kuku na Kanga wa Kienyeji. Kwa maana hiyo ni vema tubadilishane maarifa kwa mambo yafuatayo 1. NAMNA BORA YA KUCHGUA MBEGU NZURI 2. NAMNA YA KUZALISHA CHAKULA MWENYEWE...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla katika mkoa wa mtwara na songwe, ktk ujazo wa kilo, debe au gunia zikiwa zimeshamenywa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jf, Mhe. Diwani wa kata ya Kilomeni Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro ameagiza Miche 34,000 kutoka kituo cha utafiti wa Kilimo Lyamungo kwa lengo la kufufua Kilimo hicho...
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Heshima kwenu ndugu Wafugaji na Wakulima. Kama mjuavyo, shughuli za Kilimo na Ufugaji ndizo kazi zetu za Asili tulizorithishwa tangu zama za Adam na Eva. Sasa wakuu nisiwachoshe, mwenzenu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Napenda kujifunza kutoka kwa wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Kama kujua gharama za kukodi mshamba. Njia rahisi za kufanya umwagiliaji na vyote vinavyohusiana na kilimo.
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF naomba kujua jinsi ya kutengezenez banda la kufugia kuku kuanzis vifarangs mpka wakubwa.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Aya wale marofa wenzangu muda ndo huu shamba kumenoga.
12 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3. Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom