CULLING
ni kitendo cha kumtambua kuku asiyetaga au asiyezalisha na kumuondoa kwenye kundi la kuku wako wa mayai kwa kumchinja, kumuuza au kwa matumizi mengine ya nyumbani.
Kwanini ufanye...
Wadau,
Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi.
Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
Wakuu wangu nashida na sumu kali ya kuulia mbwa koko wanao zurura hovyo.
Wamenilitea madhara ya kula kuku na mayai pindi nikichelewa kufunga banda la kuku.
Na hata wamejeruhi watu kadhaa mtaani...
Wakuu naomba kwa aliyewahi tumia hii mashine ya kupandia mazao anipe uzoefu kuhusu ubora(uimara) wake,urahisi wa kutumia na mazao yanayotumika kupandia kwa ujumla.
Mambo vp ndugu zangu, ebwana ndugu yenu nmerudi tena ili tuendelee kupeana elimu kuhusu maswala mbali mbali yenye manufaa.
Leo nataka nikueleze maajabu nilioyashuhudia kwenye ufugaji wa Mbuzi wa...
Nipo Dar-es-salaam
Nahitaji KUWA broker wa mpunga ..
Kununua mazao ya mpunga kati ya morogoro au mbeya.
Nahitaji kupata mchanganuo nawezaje Kuanza biasharaa hii ya kununua zao la mpunga kuweka...
Habari zenu wakuu,
Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora.
So nipo...
Iliki ni moja kati ya mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya nyumbani,utumika kama viungo kwenye chakula na pia utumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali.na pia ni mmea...
Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo...
Habari wadau wa JF.Kwanza kabisa mimi sikuwepo wakati vita ya Kagera(1978-1979).Nilikuwa bado sijazaliwa.Lakini kupitia kutazama mikanda ya ya video ya Vita ya Kagera iliyopo YouTube na kwenye CD...
Hellow njoo nikuuzie UDUVI kwa bei nafuu kiasi chochote unachotaka ukatengeneze chakula cha KUKU piga bei nafuu kabisa ok MANZESE chap UDUVI UDUVI.. PIA NAUZA JUMLA KWA WAUZAJI
Nichek PM Chap bei...
Wadau naombeni ushauri katika uwekezaji katika kilimo cha zabibu, nina eka 2.5 maeneo ya Bihawana- Dodoma nataka kutumbukiza mpunga nijaribu bahati yangu naombeni ushauri wa kitaalamu nijipange na...
Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na...
Nimeanza uzalishaji wa nguruwe wa biashara! nitakuwa nauza kadiri ya mahitaji ya mteja, ninafuga kibiashara! nitahitaji wanunuzi wa mabucha na wafugaji, now niko kwenye uzalizaji nahitaji...
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema Tanzania haiwezi kuiiga Kenya kutumia mbegu za GMO
Bashe amesema utafiti waliofanya kwenye zao la Pamba waligundua mbegu zetu zinazalisha mara mbili ya uwezo wa...
KANUNI KABLA YA KUATAMISHA.
1. Yai liwe limetagwa na kuku aliyepandwa
Na jogoo.
2. Yai lisiwe na ufa au mpasuko wowote.
3. Yai liwe na shape inayoeleweka na sio
Lililo pinda pinda.
4. Ganda la yai...
Wakuu habari za mida hii? I hope ni wazima..
Ningependa kufahamu namna ya kushughulika na zao tajwa hapo juu.. mahitaji yake, utunzaji mpaka hatua za uvunaji.
Kwa anaefahamu naomba ashushe ujuzi...
Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.