Habarini wakuu,
Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za...
Habari ya leo
Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania.
Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya...
Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
Serikali iliruhusu nchi za jirani kusomba vyakula toka moja kwa moja kwa wakulima na nchi kama Kenya wakawa wanasindika na kuuza nchi za vita kwa nembo yao kama vile Somalia na Sudan Kusini.
Sasa...
Wakuu
Nilikuwa nimehifadhi namba za mbolea ya ruzuku kwenye simu (smart phone) bahati mbaya simu imedumbukia kwenye maji na kioo kimekufa.
Nimejaribu kutafuta kioo kipya lakn gharama zake ni...
Hivi hii kitu imekaaje?
Ninaona zipo viwanja wanafanya hii biashara lakini bado hawapo kisasa zaidi na bado hawaaminiki sababu ya wizi wa magari au vipuri vyake.
Sehemu nyingi gharama ni 1000...
Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam.
Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika...
Zamani ulikuwa huwezi taja kilimo bila kuitaja Kaskazini, mkoa kama Arusha na nazania Arusha ndio ilikuwa kituo cha kilimo Tanzania hii, Kaskazini hasa Arusha ndiko hata kulikuwa na Makao makuu ya...
Habari za muda huu wakuu,
Nimepitia nyuzi nyingi jukwaa hili kwenye upande wa ufugaji nimeona asilimia kubwa wamejikita kwenye ufugaji wa kuku,inaelekea inalipa hii! Anyway me nmekuja...
Habari zenu,
Nina kuku wa kienyeji hapa kwangu ambao nimewazuia wasizagae mtaani, sasa wiki hii kuku wote wakubwa wameanza kutaga na hapa sina jogoo hata mmoja.
Je, niendelee kula haya mayai au...
Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe...
Wakulima na wafugaji
Nafanya jaribio la kutengeza mbolea asili au mboji. Kwa kutumia majani niliyojaza apo kwenye karo
Nitaweka
Mbolea ya ng'ommbe au mbolea ya mbuzi /kuku/bguruwe/popo n.k...
Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami...
Habari wana jukwaa,
Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia mbegu za mahindi hizi zinazouzwa madukani na akapata matokoea mazuri kwa ardhi ya Morogoro hasa maeneo ya mashamba ya Ngerengere na Kiegeya...
Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler).
Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia...
Habarini wadau,
Katika kujifunza kwa ukaribu,ufatiliaji wa kukuza na kuwalea samaki aina ya Sato ambao nimechimba kijibwawa ka 40 sqm kwenye mazingira ya nyumbani kwangu kama darasa ili huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.