Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi.
Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba...
Wakuu habari za muda huu, naomba kama kuna mtu anajua dawa ya kuwapa kuku wenye mafua. Wanakohoa na kusinzia.
Natamani kujua dawa yoyote,hata kama ni za miti. Ni kuku wa kienyeji.
Natanguliza...
Wakuu naomba ushauri wenu.
Nimekuwa nitembelea maduka mbali mbali katika nchi za Ulaya hasa UK na kukuta bidhaa kazaa za kutoka Uganda na Kenya lakini sijawahi kuona bidhaa zozote kutoka Tanzania...
Ijumaa Kareem!
Matukio ya mauaji ya wamiliki na watoto kutoka kwa mbwa hawa yamekuwa mengi sana. Malalamiko nayo yamekuwa mengi sana kila kona ya dunia hii.
Swali langu ni je, vinasaba vya mbwa...
Habari za leo wanajukwaa.
Naomba kufahamu bei ya mashine ya kupiga mpunga na mahali zinapopatikana. Ukubwa wake na ufanyaji kazi wake.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kufahamu vilipo vituo vya ukaguzi wa asali vifuatavyo:
Nata,
Mkweni,
Kaniha na
Kerezia.
Natamani kufahamu wilaya na mji au kituo mashuhuri jirani na kituo husika.
Wasalamu ndugu zangu, km ambavyo kichwa cha uzi kinajieleza miaka ya nyuma kabisa nilikua mpenzi wa kufuatilia nyuzi mbalimbali zinahusu kilimo katika jukwaa hili.
Nyuzi nyingi zimeandikwa katika...
Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga...
Wakuu habari zenu,
Kwa muda nimekuwa na hamu ya kuanzisha biashara ya Chakula cha mifugo, kwa ajili ya wafugaji. Lakini mbali na chakula nitauza vifaa vya ufugaji na nitakuwa wakala wa vifaranga...
Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya...
Hivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri...
Juzi nilikuwa naelekea bunda kutokea Mwanza. Kuanzia Magu hadi bunda, mashamba ya mahindi yote yaliyo kando ya ziwa Victoria yamekauka kwa kukosa mvua, mengine yako chini ya mita 100 toka ziwani...
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na mvua ambazo hazitoshelezi, imepelekea niwaze kuingia kwenye kilimo cha umwagiliaji wa pampu ya solar japo nimeshafanya huko nyuma kwa kutumia...
Habari wana JF!, Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara,ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila...
Habari wana JF!
Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara, ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila...
Leo nimekaa na kutafakari sana kuhusiana na suala hili hasa ikichangiwa na baadhi ya video na clip nilizowahi kuona huko nyuma
1. Misri wameanzisha miradi ya kilimo cha umwagiliaji kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.