Habari wandugu
Naomba kujua garama za hii Mashine na je ni vigezo gani anatakiwa kuwa navyo MTU anaetaka kununua awe na kituo cha kununulia tiketi je faida IPO katika mfumo gani?
Nikiwa na...
Habari za leo wakulima na wafugaji wenzangu. Mmea huu una maajabu sana kiasi cha kwamba unahitaji tu Alfalfa kuwa 3% ya lishe ya mfugo wako kwa siku. Ukizidisha basi mfugo wako atasambuka kwa...
Habari za muda huu,
Wadau na shida moja kwa anaejua kiwanda ama msambazaji mkubwa wa Mifuko hii ya kutunzia nafaka inayoitwa Kinga njaa anielekeze ni jinsi gani nitaipata hiyo Mifuko kwa bei...
Wakuu, kichwa habari chahusika.
Wenye uzoefu na Kilimo cha miti ya mbao tunaomba kujuzwa ni miti gani bora yenye kutoa mbao nyingi.
Inakua kwa muda gani.
Baadhi ya miti michache nilowahi kusikia...
Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea.
Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali...
Wadau ambaye anauzoefu wa Zao hili la VIAZI MVIRINGO tafadhali nisaidie kujibu na kunipatia taarifa zaidi kutokana na maswali yangu nitakayouliza hapa chini, lengo niweze kufahamu nini...
Hello Wana JF
Naombeni msaada wa ushauri, mawazo au maelekezo wa mahali au wauzaji wa mbegu za Safflower kwa hapa Tanzania
N:B
Soko kuu la Kariakoo( Nimetafuta bila mafanikio)
Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya...
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu mwingi wa rehema, pia natoa pole Kwa wakulima wenzangu waliokumbwa na ukame katika msimu huu wa kilimo. Jambo lililonileta kwenu nikutaka kujua...
Kwa wakulima wa mahindi wa mkoa wa Mbeya. Mwaionaje hali ya mahindi yetu mwaka huu.
Kwa mimi hairidhishi kabisa!
Sijui kilichotokea.
Mvua ilikuwa vizuri
Taratibu za kilimo zilifuatwa kama miaka...
Wadau wa kilimo, kama kuna mtaalam anafahamu hichi kilichopo kwe picha ni kitu gani, atupatoe elimu kidogo, maana nimeikuta shambani kwangu, imenistua sana maana, sijawahi kukutana na product...
Wakuu amani iwe kwenu.
Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k.
Naomba pia kujua...
Ndungu zangu poleni na majukumu,Kwaa wale wataalamu wa nyanya naombeni msaada wa haraka juu ya hali hii inayoitesa nyanya yangu,ili angalau niweze kuiokoa.
1.Nyanya inanyauka majani kuanzia chini...
Wanajukwaa nawasalimu nyote, napenda kufahamu Kwa yeyote mwenye uzoefu na hizi trector aina ya LOVOL kw kuangalia utendaji KAZI wake, utumiaj was mafuta, kuvumilia mazingra magumu, kupambana na...
[emoji2389] Viuadudu chupa 11,839,225 zenye Thamani ya Bilioni 51 kwa ajili ya wakulima
[emoji2390] Serikali inatarajia kupata mavuno ya Pamba Tani 700,000 kwa Mwaka
[emoji2391] Vinyunyizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.