Habari,
Namtafuta mtu anayetaka kulima shamba bure, lipo Masaki, Kisarawe.
Linafaa kwa kilimo cha mihogo, mahidi, nampa alilime bure. Lina ukubwa wa hekta 2, lipo karibu na barabara.
Contact...
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAOMBA BILIONI 295.9 BAJETI MWAKA MPYA WA FEDHA 2023/2024
Waziri wa Wizara Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega ameliomba Bunge likubali kupitisha Makadirio ya...
Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa...
Ni Ushauri wa biashara ya mbuzi kwa atakaeiweza.
Mimi ni mkaazi wa Zanzibar. Kama kuna mtu yupo tayari kufanya biashara hii ya mbuzi kipindi cha skukuu ile ya kuchinja huku Zanzibar wanalipa...
Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa.
Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu.
Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa...
MBUNGE MHE. NORAH MZERU ACHANGIA MILIONI 3 VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amechangia Miradi ya Kimaendeleo ya wanawake wa...
UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA
Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa...
Habarini wana jamvi letu pendwa,
Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie...
Habari mwana jamvi,
Kama upo humu na unajihusisha na kilimo cha miti ya matunda na maua. Kama upo Tukuyu hebu fanya kunitumia private message hapa Upate hela ya pasaka.
KOMREDI KAWAIDA - HALMASHAURI TENGENI MAENEO YA KILIMO
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida ameendelea kukagua maendeleo ya mafunzo ya Kilimo kwa vitendo Shambani wanapofanya...
Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani
Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.
Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa...
Wana JF amani iwe nanyi!
Naomba kuuliza, hivi kwenye ekari 1 unaweza kuvuna mchicha kiasi cha pesa ngapi?
Yaani unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.