KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO
Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA
MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo -...
UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika...
MOHAMMED KAWAIDA AWAKOSOA WASOMI MRADI WA BBT
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Mohamed Kawaida ameitaka jamii kuondokana na dhana kwamba mradi wa Jenga Kesho...
KOMREDI MOHAMMED KAWAIDA ATAKA TIJA KILIMO BBT
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau Kilimo na badala yake wakikumbatie na...
Hamjamboni wadau.
Naombeni msaada wa kitaalamu. Nina vifaranga wa kuku, wanasumbuliwa na tatizo la miguu. Wanakunja vidole vya miguu na kutembelea viwiko.
Nini ufumbuzi!
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema sekta hiii ipo hoi taabani sana hasa kwenye upande wa waziri na watendaji wake.
Leo tumeona wafanya biashara wanao toa ruzuku ya mbolea wamefutiwa kama...
Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na...
Wajuvi wa mambo heshima kwenu wote!
Nimejikuta natamani Sana kilimo cha karanga baada ya kuona soko lake liko juu, pia nahisi ni kilimo chake ni rahisi.
Karibuni wazoefu mnipe mchanganuo ya...
POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel
Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana
Naombeni...
Wanajamvi Mimi ni mkulima mdogo mwenye shauku kubwa ya kumiliki trector Kwa mwaka huu 2023, nmechoshwa na gharama kubwa ya matrector huko Songea, heka Moja mwaka huu tumelima Kwa TSH 90000 had...
Tupia picha kuonyesha hali ya mazao ya chakula yanavyoonekana shambani sehemu unayoishi. Lengo ni kutaka kujua hali ya mvua na ukame katika mikoa mbalimbali.
Karibuni.
Hapa ni mkoa wa Iringa...
Habari zenu?
Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya. Hapo Kenya naona wanalima alfalfa kwa ajili ya ng'ombe na mbuzi Zao. Tanzania sijapata Maelezo bora, zaidi ya...
Habari zanu wadau wa JamiiForums,
Poleni na shughuli za kila siku za kujenga uchumi wetu. Leo naombeni msaada wenu wa kunitoa matongotongo kuhusu kilimo kipi kinalipa/au kisicho na usumbumbu...
Habari wapendwa naomba kujuzwa nina kaeneo kadogo Singida kadogo tu robo heka nahitaj kukapanda miti ya mbao kea sababu sijengi hvi karibuni naomba msaada ni miti gan inastawi vizur hapo Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.