Habari wanajukwaa.
Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki (Grandit teaks) kwa fikra ya kuja kuuza mbao pekee, lakin kadri muda unavyokwenda nimejiona mwenye bahati baada ya...
Natarajia mko wazima wakuu,
Niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki...
Nimekuwa nafuatilia threads zinazohusu kilimo na kuvutiwa na jinsi mnavyochangia-mfano Elnino na Malila na members wengine. naomba kuuliza kama nitaamua kulima MITIKI (teak wood). Sasa naomba...
Tumesikia mengi kuhusu kilimo cha mitiki kwamba kinalipa. Tafadhali mwenye ushuhuda na hii biashara atupe abcd .....ya namna gani biashara hii inafanyika baada ya kupanda mpaka miti inapokuwa...
Khabari zenu wakubwa.
Kuna huyu jamaa wa kuitwa ALLY HAPI aliewahi kuwa mkuu wa wilaya Kinondoni, Aliwahi kuwa mkuu wa mkaa wa Iringa kama sikosei,ila kwasasa sio tena mwanasiasa ni baada ya mama...
Naomba msaada kwa wale wafugaj wa hawa kuku tanbro na kroiler
Mwezi wa pili nilianza ufugaji huu kwa kununua kroiler 40 kwa tanbro 30 vifaranga wa wiki sasa changamoto ni mafua makali vifaranga...
Habari zenu wana jamvi.
Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo;
Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja...
Ntakati hizi bila kuwekeza kwenye nalisho ni hasara, Kwa wafugaji wa Ng'ombe, Mbuzi, Nguruwe, kondooo, farasi, na hata kuku, ni wakati wa kuotesha majani yako kama una shamba, nyakati hizi malisho...
Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na...
Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa na majira ya huku niliko, mvua za kupandia zinatarajia kuanza kunyesha wiki ya Tatu ya mwezi March ambayo ishafika mimi nimeshaandaa shamba na nimeshapiga...
Bei ya miti hasa ya"Pine" imeporomoka mno mashambani, ingawa bei za mbao mijini hazijashuka. Huwezi amini ekari moja ya miti (Iliyostawi vizuri) ya miaka 10 ni kati ya mil.1.2 hadi 1.5. Siku za...
Mwaka huu kuna possibility tena ikawa kama mwaka jana mvua kidogo, na Dalili zimeishaanza kuonekana.
TMA wanasema mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara itapata mvua chini ya wastani, hii ni...
I have the Best Pepper seeds(AFRICAN BIRD EYE CHILLI), I am selling at Tsh 100,000/= per 100 Grams. They are enough for one acre.
Consultation is Free. I am at Tegeta, Dar es Salaam.
WhatsApp...
Heshima kwenu wanabodi, kama heading inavyojieleza nina malengo ya kwenda kulima vitunguu Kilosa mwaka huu ila sina mwenyewe was kunipa ABC za huko kuhusu hichi kilimo, ikiwemo wakati sahihi was...
WanaJF ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo!
1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo
2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.