MBUNGE MASACHE KASAKA AZUNGUMZIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO
"Serikali umeweka utaratibu mzuri wa kuchukua vijana na kuwaweka katika makambi, nashauri tuwachukue vinana ambao wameshajiajiri tayari...
MHE. JUMA USONGE - ZANZIBAR NYAMA NI ELFU 13 KWA KILO, TANZANIA BARA NI ELFU 6-7 KWA KILO
"Ipo tozo ya halmashauri, ipo tozo ya kijiji ambayo inachajiwa kwa ng'ombe yuleyule mmoja anayeenda...
TANZANIA IWEKEZE UVUVI WA SAMAKI WA VIZIMBA ILI SEKTA YA UVUVI ICHANGIE PATO LA TAIFA KWA ASILIMIA MBILI
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mkoa wa Mara Mhe. Prof. Sospeter Muhongo mwenye Jimbo...
MBUNGE CHEREHANI - PAMBA IWE NA TIJA
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Emmanuel Cherehani amesema Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apewe udaktari wa heshima kutokana na mchango wake...
JOSEPHAT GWAJIMA AKICHANGIA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mbunge wa Jimbo Kawe lililopo Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Askofu Dkt. Josephat...
Wakuu salaam.
Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO
"Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za...
[emoji239] Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?
[emoji1639]Watu wengi tumekua Tukiamini Ili Tetea Atage Lazima Awepo Jogoo Wa Kumpanda Ndio Yai Lipatikane...Kama Wewe Ni Miongoni...
ukienda kijijini heka 1 utakodi kwa gharama isiyozidi laki moja 100,000.00 tu! ukilima mahindi ni miezi mitatu tu unavuna faida nzuri mno, jipunguzie gharama za maisha kwa kutengeneza mwenyewe...
Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu.
Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye...
Wana JF,
Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili...
Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia.
Ni...
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa
Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara.
MAMBO...
BUNGE LARIDHIA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 2023/2024 YA TSH. BILIONI 295.9
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
Habari wadau
Nishachoka kumaliza hela kwenye matikiti sasa nataka kurudi kwenye kilimo chetu cha asili.
Nataka kulima mahindi ya kuchoma niuzie Dar es Salaam kwahio naomba ushauri sa mambo...
Mbunge Emmanuel Cherehani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga amesherehekea Siku Kuu ya Mei Mosi na Wana-Ushetu huku akiwasihi wananchi waweke akiba ya Chakula kutokana na hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.