Habari wakuu.
Mimi ni mraibu mkubwa wa hawa viumbe sio kuwala ila napenda tu kuwatazama. Kuwala kwa kweli kuwachinja huwa nawaonea huruma, najikuta nashindwa.
Kuna rangi nimeiona nikaipenda...
Mimi ni mtalamu wa mifugo Yani AHP natafuata kazi yoyote inayo endana na taaluma yangu kwenye kampuni au shirika lolote lile Nina uzoefu mkubwaa na pia nipo tayari kufanyaa kazi popote pale, nipo...
NAIBU WAZIRI SILINDE - MAZIWA YASIYO SALAMA NI HATARI KWA MLAJI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde ameonya kuwa matumizi ya maziwa yasiyo salama huhatarisha maisha ya mlaji...
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia...
Serikali imepiga marufuku Wanunuzi kwenda Kununua Mazao ya Wakulima mashambani na kuagiza mazao yote yanunuliwe kwema Maghala yaliyosajiliwa.
My Take: Wenye Stoo na madalali Sasa kazi mnayo...
Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa
@whats app no 0629931610
Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na...
WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika...
nimepata ardhi kubwa,ninahitaji kujua shamba la Miti ukanda wa pwani linawezekana?if yes miti gani inahimili mazingira ya ukanda wa pwani [rufiji,kilwa].
nawaza miti ya under 10 years.
WIZARA YA MIFUGO & UVUVI, SUA ZATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA
Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishirikiane na Chuo Kikuu Cha...
Nililima maharage mwanzo mwishoni mwa mwezi wa tatu wilayani Hanang, baada ya hapo mvua zikaanza kunyesha mfululizo na ardhi niliyopanda ni mbuga nyeusi.
Yaani maharage yalitaka kuniacha nayaona...
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza...
Unaweza kushangaa ila huo ndio uhalisia.
Mkoa wa DSM ndio unaongoza Tanzania Kwa Kilimo Cha Umwagiliaji Cha mazao mbalimbali ukifuatiwa na Mbeya, Kilimanjaro na Iringa..
=========
10 regions...
Wapendwa wana JF wenzangu,siku kadhaa zilizopita niliomba kupatiwa ufafanuzi wa namna ya kitengeneza wine ya ndizi,lakini kwa bahati mbaya sijafanikiwa kumaliza kiu yangu.Sasa leo naomba yeyote...
Wakuu, naomba kujua machache kwa wenye uzoefu na masoko ya viazi vitamu. Nina shamba langu la viazi vitamu,nitaanza kuvuna mwezi wa nane,nategemea kuvuna zaidi ya gunia 200.
Sasa naomba kujua...
Salute,
Wakuu wapi nitapata mbegu za mulch,kwanza sijui mulch ni mizizi ya Nini,au ni mboga za majani au ni Miche ya matunda gani.
Kuna mzungu kaniambia anaitaji kununua ,nimtafutie kwa...
WAZIRI MHE. ABDALLAH ULEGA AHIMIZA UWEKEZAJI MIFUGO, UVUVI & KILIMO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewahimiza Mawaziri Wenzake wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Habari wapambanaji?
Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience...
MBUNGE MARTHA GWAU - "RUZUKU YA MBOLEA IPELEKWE KWENYE VIWANDA VYA NDANI" AISHAURI WIZARA YA KILIMO
"Tanzania tuna wakulima wa aina tatu; wakulima wadogo (Small Scale Farmers), wakulima wa kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.