Mfumo wa umwagiliaji wa matone (Drip irrigation system) unafanya kazi kama zile drip za hospital za kuongezewa maji au damu ambazo huwa tunaziita drip... wanasemaga mtu katundikiwa drip ya maji...
Wanaoitwa wataalamu wa kilimo na mifugo ndio wanasababisha wakulima na wafugaji wengi waangukie pua kwa faculty hii.
Nikafanya utafiti kidogo elimu ya maafisa kilimo na mifugo ngazi ya kijiji na...
Maboga ni moja ya Chakula kinacho weza tumiwa kutatua njaa inayo sababishwa na ukame, sema ni vile Jamii ina under rate Maboga lakini yana uwezo mkubwa sana linapo kuja swala la njaa.
Wakulima wa...
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini...
Wanazengo kichwa cha habari kimejieleza
Natanguliza shukrani kwa atakenipa ABC kwenye hilo. Mi ndio kwanza naanza hicho kilimo nataka nitumie kumwagilia kwa matone " drip irrig."
1. Kitalu kama...
Kutokana na Taarifa ya hapo chini kutoka Azam Tv:
KUSHUKA KWA BEI YA MAHINDI, NINI SABABU NA KIFANYIKE?: Hoja ya kuporomoka kwa bei ya mahindi nchini imetinga kwa mara nyingine bungeni baada ya...
Habari za muda huu,
Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa....
Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga...
Hali ya wakulima wa Vanilla inatisha Kyerwa, Karagwe na Bukoba vijijini leo nimepata taarifa kuwa wakulima wameanza kung,oa zao hili kutokana na ukosefu wa wanunuzi nimeambiwa mwaka jana waliuza...
Kwako waziri Bashe tunakwenda msimu mpya wa kilimo na wa pembejeo na tunaaambiwa mawakal ikifika tarehe 1mwezi wa 7 inabidi kusimama mpaka maelekezo mapya yatakapo toka tena.
Kilio changu mpaka...
Habari?
Kifaranga wangu ana wiki ya tatu sasa hivi. Wiki ya kwanza ndiyo niligundua kuwa haoni baada ya kula, kunywa maji na kutembea kwa hisia(yaani anabahatisha kila anachokifanya).
Hajawahi...
°Nta
°Asali
°Maziwa ya nyuki yaani "Royal jelly"
°Gundi ya nyuki
°Chavusha ya nyuki "Bee pollens"
°Hewa ya nyuki
Sumu ya nyuki yaani bee Venom
Najua wengi wanafahamu kuhusu Asali tu 🙏🏾
MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
Wadau habari zenu!
Leo naomba nitoe elimu kuhusiana na uvuvi wa dagaa katika ziwa letu pendwa Victoria. Kwa muda kadhaa sasa nipo najihusisha na uvuvi ktk ziwa hili hivyo nimeona niwaletee ukweli...
Naombeni munisaidie ukubwa na namna ya kujenga banda zuri la kisasa ambalo linaweza kkufuga aina yoyote ya kuku (kisasa au kienyeji).
Nataraji kuanza na kuku wa kienyeji. Je, nianze na kuku...
Ndugu zanguni naombeni msaada wenu tafadhali.
Kilimo cha matango gharama zake zipoje, kuanzia hatua ya kwanza mpaka hatua ya mwisho kwa ekari moja tu.
Ukiachana na gharama za kukodi shamba kwani...
Habarini wana Jf.
Shamba langu la Mifugo lina Mbuzi, kondoo, kuku, kanga, bata, Mbwa wa kisasa, njiwa na ngombe wawili ambao wanafugwa wakiwa ndani muda wote.
Lengo langu ni kuwa na wanyama wa...
UTANGULIZI…
-Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao...
Vyanzo vya miche bora ya Mkonge
1. Maotea/Matoto ya Mkonge Mkubwa (Suckers)
2. Vikonyo vilivyokuzwa katika kitalu
Hasara za kutumia maotea
1. Si rahisi kupata miche inayo lingana urefu, umri na...
Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu.
Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.