Naombeni ushauri tafadhali. Tatizo la huu mti wa mchungwa ni kama linavyoonekana pichani.
Nilishauriwa na muuza pembejeo za kilimo ninyunyizie DUDU ETHOATE lakini haijasaidia.
Kuna dawa...
Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja...
Wakuu namtumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Ng'ombe hapa nyumbani amezaa sasa kwa kuwa ilikuwa usiku hatukuwa na habari, asubuhi ndo tumekuja kuona kuwa amezaa, sasa kondo hatukuliona na baada...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa...
MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA
Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za...
Hoho za rangi ( Capsicum colored ) ni aina ya pilipili mboga zenye halufu nzuri na kuvutia kutokana na aina gani ya rangi, zipo aina nyingi za rangi ila tulizo zoe kuziona kulimwa haswa Afrika...
Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu.
Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza...
Maonyesho ya Kilimo ya Nane Nane yana Makosa mengi sana ya kimkakati na nashindwa kuelewa kwa nini Waandaaji na watalamu hawalioni hili.
Maonyesho ya Nane nane yamekuwa yakifanyika kwenye kanda...
Assalam alykum. Naomba msaada.
Huu muembe wangu unadondosha embe changa karibu ya zote.
Nimetumia dawa ya wadudu na ile nyongeza ya vitamin lakini bado.
Nifanyeje?
Habar wadau wa JamiiForums,
Naomba kuuliza nawezaje kufanya biashara ya Madawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea ivi kuna ugumu gani
Pia faida na hasara zake ni zipi?
Huu ni uzi utakaobeba mambo mengi kama sio yote kuhusiana na kilimo cha mpunga nchini Tanzania.
MPUNGA
Hili ni zao la chakula linalolimwa kwa wingi kwenye maeneo ya ukanda wa joto.
Zao hili...
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya...
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo...
Wakuu naamini humu kuna wafugaji wenzangu jamani. Mimi ndio najifunza kufuga.
Nina kuku wangu analali, ana siku 14, sasa basi leo wakati naangalia mayai kama yatakua na vifaranga ndani, dah kwa...
Mbeya imeanza kunoga,huku Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Maarufu kama Nanenane yakishika Kasi
Kwenye Maonesho Kuna ingizo jipya la kuku wa Shilingi Laki 7 za Kitanzania.
Kilimo ni UTI wa mgongo
Wale wafugaji wa kware na mayai yake bado mpo? Mmekaa kimya siku hizi hatusikii mkileta mada za kuhubiri manufaa ya mayai ya kware.
Au ndio tayari motivation spika wameshawapiga na kitu kizito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.