Nyanya ni zao ambalo hushambuliwa sana na magonjwa ya ukungu msimu wa mvua nyingi na msimu wa baridi kali. Hali hiyo husababisha bei ya nyanya kupanda sana kipindi hicho na wale wanaobahatika kuwa...
Nimeona clips nyingi sana YouTube ambapo wenzetu wanavuta maji kutoka kwenye visima na mabwawa bila kutumia nishati ya aina yoyote, na tuna mpango wa kujaribu hapa chuo cha SUA.
Nlitaka nipate...
Wana JF kwema?
Nahitaji supplier wa Mayai ya Kienyeji pure kabisa ya jumla.
Offer price ni 12,000Tshs kwa trei moja.
Naweza kuchukua mpaka tray mia +.
Napatikana Dar es salaam.
Aliye serious...
Habari za kazi waungwana.
Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo.
Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya...
CAM STORE ikishirikiana na Mifugo Plus
Tumekuletea BioEarn Feed Additives ama nyongeza ya malisho.
Virutubisho vya BioEarn vimetengenezwa kitaalamu kwa kutumia Unga wa mimea yenye Vitamini na...
Wakulima wengi wanalima viazi mviringo kwa sasa mikoa ya Njombe na Mbeya watu wengi wanavuna.. Kwa wanaojua masoko ambayo tunaweza kuuza kwa bei nzur tuwasiliane hapo chini.
Lakini pia kama una...
Wana bodi wote,Wasalaam! Jamani kama kuna mtu ana ujuzi wa kuweza kutambua yai la kuku jogoo na mtetea hata kabla ya kuanguliwa anisaidie! Ninafuga kuku lakini nahitaji...
Wanajamvi naomba kufahamu, kwa wenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha Maboga lishe. Ni mbegu zipi Zina zaa Sana na matunda yake yanakuwa makubwa, na soko lake likoje kwa Tanzania hapa.
Naomba...
Enyi matabibu wa JF.
nisaidieni wajameni. natafuta dawa ya mende wananisumbua sana. dawa za kihindi za kupuliza nimejaribu aina aina lakini nimenawa, maana nikiwapuliza wanalala tu badala ya...
Habari wanajf,ningependa kujua ni lini vifaranga vinatakiwa vitolewe kwenye BRUDA au lile Duara la silingi bodi linalotumika kuhifadhi joto kwa vifaranga ,ninaomba mnielimishe.Nimeambatanisha na...
Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu!
Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa...
MBUNGE SALIM HASHAM AMETOA MATREKTA BURE ILI VIJANA WALIME WAINUKE KIUCHUMI
Katibu wa Mbunge Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Thomas Daffa amewataka vijana wa Wilaya hiyo kutumia vyema fursa ya...
Habari za asubuh .
Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji ,
Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji...
Naomba kama kuna mtu humu ambae anajishughulisha na Utotoleshaji wa vifaranga wa kuku wa kisasa wa mayai Ama mtu anaemfahamu wakala yeyote Anajishughulisha na hao vifaranga, nina shida nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.