Natarajia kuanza kuvuna Maharage mwezi huu nimeiona ni vema nianze kutafta soko mapema kabla ya kuanza kuvuna.
Aina ya Maharage ni Uyole Njano (goroli).
Habari wakuu naomba kuuliza, hivi ni mbegu gani ya mahindi ni nzuri kwa mahindi ya kuchoma ukiachana na pioneer maana haipatikani madukani sahivi mimi nipo Mkuranga
Habari ndugu wakulima na wafugaji, kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusu super gro, nilikuwa naomba msaada wa mawazo wewe kama mkulima unaitambua kama mbolea? Na Kwa wale waliotumia mavuno yake...
Huwa some time naingia Super Market hizi kubwa sio kwa kununua kitu bali kuchungulia sana Food Products hasa hizi fresh.
Kwenye super Market kubwa zile high end bidhaa za chakula asilimia 80...
Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa.
Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko...
NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji.
Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka...
Hivi tunalima products zipi hasa? Make Hoteli za kitalii nyingi zinalishwa na Wazungu, kule Njombe kuna Wazungu kule wanalima kila aina ya Mboga ambazo husapply Arusha, Dar na Zanzibar.
Arusha...
Habari ndugu zangu, leo naomba nami niongee neno katika uwanja huu wa kijasiriamali, Mimi ni mhitimu wa Degree ya Uhasibu miaka 3 iliyopita, tangu kipindi hicho chote sijapata ajira ya kudumu na...
Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe!
Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa...
Hodi huku
Kumekuwa na nyuzi humu zikijadili uimara wa trekhlta zinazouzwa mitandaoni South Afrika. Uimara huo umekuwa ukitiliwa mashaka kulinganisha na bei ya trekta hizo. Ukiingia kwenye mitandao...
Nauliza. Nataka kufuga mbwa lkn hasie na madhara wala sio kwa urembo wa sebuleni. Awe normal wa nje mwenye kucheza cheza na upendo. Sipendi mwenye manyoya mengi sana kwasabab ya usafi.
Naombeni...
Salam wakulima na wafugaji,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, michungwa ni Miongoni mwa mazao yanayowapa kipato wakulima.
Usishangae mtu mwenye ekari moja ya michungwa aina ya Valencia...
Habarini wana JF.
Nimepanda ukoka katika eneo langu nyumbani. Changamoto niipatayo ni aina gani nzuri ya mbolea ambayo utafanya ukoka uwe mzuri na wenye afya na kuvutia?
Kwa wale wataalam wa...
Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa.
Karibuni sana 0719832015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.