Wadau wa JF naomba mwenye uelewa kuhusiana na swala la ufugaji wa guruwe anipe ABC.
Namba ya kuanza na changamoto zake na tiba zake kwa sasa afikiria kuanzisha hiyo programu.
Karibuni kwa ushauri
Huku Arusha huwa naona mabas yanapakia sana Karoti kupeleka maeneo kama Singida, Dodoma, Tabora huko na kadhalika.
Karotu ni biashara kubwa sana kwa huu ukanda wa kaskazin na karoti nyingi sasa...
Habari,
Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini.
Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20
Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20
Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
Mimi ni namiliki shamba la parachichi mkoani njombe ukubwa NI heka10 na shambo lipo juu ya mlima na kwenye upunde wa mlima chini ya mlima huo ndio kuna bonde na chanzo cha mto sasa naitaji...
Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi.
Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani.
Je, wazoefu...
Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga.
Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki...
Salamu,
Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake.
Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa...
Zao la Soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea. Kiasi cha protini katika soya inazidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai...
Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari.
Nimepata shamba la heka sitini...
Nimekua nikijihusisha na ufugaji wa kuku. Ila sasa naona wanakufa. Kuku wangua nawaachia wazunguke ndani ya geti. Yaani wanatoka kwenye banda na kuzurura ndani ya geti tu.
Ila cha ajabu kuna muda...
Sayansi na teknolojia ni maendeleo ya mwanaadamu ambayo yanaelekea kuiharibu Dunia yetu nzuri tuliyozawadiwa na Mungu.
Hii ndo kusema akili za mwanaadamu sasa zimepindukia kiasi cha kumdhuru yeye...
Kulingana na gharama za sasa za mbegu na mbolea, naomba analyst mmoja ambae ana uzoefu shambani anisaidie simple estimation ya hizi:
A. Je, mbolea ninazotakiwa kutumia ni zipi na kwa kiasi gani...
Mwaka huu nimelima tikiti, I provided everything needed ila bado mazao hayanenepi, sababu kubwa iliyoni cost ni USIMAMIZI MBOVU.
Mimi ni mwajiriwa kwaio sikuwa na muda wa kutembelea shamba...
Wanajf siku chache zilizopita nilikuja hapa jukwaani na kuwaomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga ambavyo vinaharisha halafu kinyesi kinaganda sehemu yao ya haja kubwa, mlichonishauri...
Kulima tunalima ila hatutoki kimavuno ila baada ya kukaa chini nimeona bora nije hapa nipate. Ushauri au elimu bora ya uchaguaji mbegu yenye kipato kikubwa,karibuni kwa maoni wakuu
Salaam wakuu....!
Samahani wakuu, nilikuwa naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa mbegu hizi za muhogo:-
[emoji419]i. Pwani
[emoji419]ii. Kiroba
[emoji1621][emoji1621]#Location yangu ni...
Heshima kwenu ninyi nyote,
Naomba kuuliza , Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi? Na uko iliko inafanya kazi kweli kwa ajili ya mkulima?
Kilimo kinaitaji mtaji wa kutosha na wakulima wengi...
Saiz saa nane usiku ndo nimeunga code nimejua hili. Nina mbwa 2 mmoja wa zaman na mwingine hana hata miezi6.
Huyu wa zaman sijajua walimtengeneza lini ila kawa mpole kupitiliza anajiliza tu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.